Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,220
- 4,059
Ana ubavu huo?Mh.Joseph Mbilinyi...so far hongera kwa kazi nzuri na endelea kufanya kazi yako ya uwakilishi vema,...unaonaje kama ukianzisha redio stesheni yako na uachane na Ruge et al?...
Ana ubavu huo?Mh.Joseph Mbilinyi...so far hongera kwa kazi nzuri na endelea kufanya kazi yako ya uwakilishi vema,...unaonaje kama ukianzisha redio stesheni yako na uachane na Ruge et al?...
Ni wewe peke yako ndio unaamini katika misingi ya kushindwa, lakini mwanaume yeyote rijali anaamini katika kila kitu kinawezekana. kama amefanikiwa kuwafunika clouds kwenye uzinduzi wa Anti virus with no Apology na akaweza kushinda ubunge kwa kishindo, ni nini hakiwezekani?Ana ubavu huo?