Uliwezaje kwenda interview nje ya mkoa baada ya kumaliza chuo?

Roho inayokurudisha nyuma ikemee haraka sana kwa imani yako.

kamwe usiache kuhudhuria sahili za kazi hasa za serikali narudia tena hasa za serikali (PSRS-AJIRA PORTAL)hata kama ni post moja.

Kwaheri, mapambano mema.
 
Back
Top Bottom