Uko sahihi sana Mkuu, lakini pia ni muhimu sana kuwa na kichaka chako cha amani na furaha bila nguvu shinikizi au mtu wa nje.Mkuu shida sio furaha unajua sometimes unataka ata yule mtu wa kuwa naye siku nzima mnapiga story mnatoka ata kaout kidogo sijui unaelewa mkuu?
Weka akilini kua kwa mwanamke mapenzi na drama vinaenda sambamba. Hasa hasa kipindi cha uchumba na ndoa changaIvi izi drama drama kwa baadhi ya wasichana chanzo chake huwa nini ?.
Unakuta mtu analeta drama mpaka kwneye masuala ya afya yake, afu ndio ukute umempenda kwelikweli ni hatarii.
Sijawahi kuhisi upweke hivi unnawaza pesa pesa
upate pesa
Uzalishe pesa zako binafsi
Zikue ziwe nyingi
TUtafuteni maisha ndugu zangu mapenzi yanakuja tu yenyewe 😂
Ukitembea meter 100 tu unatongozwa utaeleza nini kuhusu upwekeSijawahi kuhisi upweke hivi unnawaza pesa pesa
upate pesa
Uzalishe pesa zako binafsi
Zikue ziwe nyingi
TUtafuteni maisha ndugu zangu mapenzi yanakuja tu yenyewe 😂
Kutongozwa ni kuondolewa upweke??Ukitembea meter 100 tu unatongozwa utaeleza nini kuhusu upweke
Usiku mwemaKutongozwa ni kuondolewa upweke??
huku usiku hakuna. Nuru njema!Usiku mwema
Hapa ndio watu hua wana feli. They can't be on their self.Kuwa mpeke sio upweke mkuu. Tengeneza kichaka chako cha furaha hata akija waubavu mnashea hiyo furaha. Lakini kama hauna furaha ukiwa mwenyewe hata akija mtu kwenye hicho kichaka ni majanga tu.
Makini sana.✊Hapa ndio watu hua wana feli. They can't be on their self.
Ni hatari sana hasa kwa mwanaume kama furaha yako inategemea kwa mke/Mpenzi wako. Ni hatari sana
Ni kweli mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaaaaaKuoa ni kuzuia umri usiende?
Ni afadhali kuishi kwenye kisiwa Cha Ukara pekeyangu kuliko kuoa haya mazwazwa yasiyo na shukrani Wala utu. Kumània zao
Wanawake ni liabilities[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaaaaa
Ila kwakwelii usemayo mkuu
Hivi nyie pesa inanafasi yake hapa tunazungumzia kuwa mpweke na uku hela unazo huwezi kununua mapenziSijawahi kuhisi upweke hivi unnawaza pesa pesa
upate pesa
Uzalishe pesa zako binafsi
Zikue ziwe nyingi
TUtafuteni maisha ndugu zangu mapenzi yanakuja tu yenyewe [emoji23]
Mapenzi hayanunuliwi na hayaji kwa kulazimisha mapenzi ni hisia tu na wakati ukifika yanakuja tuHivi nyie pesa inanafasi yake hapa tunazungumzia kuwa mpweke na uku hela unazo huwezi kununua mapenzi
Mkuu tungi unawaka sometimes zinakataa unabaki sasa mpweke na mawazo yakoUko sahihi sana Mkuu, lakini pia ni muhimu sana kuwa na kichaka chako cha amani na furaha bila nguvu shinikizi au mtu wa nje.
Kwa kweli ni muhimu sanaSio nzuri lkn inabidi kuzoea tu hakuna namna .
Haaaah ngona nishuke kwa pusha hapa downKula ganja halafu sikiliza ule wimbo wa Single Again wa Kondeboy utanishukuru baadaye
Nakupata sana, ila kunayo namna ya kufanya ukiona hiyo hali inazidi, sio dalili nzuri sana Mkuu.Mkuu tungi unawaka sometimes zinakataa unabaki sasa mpweke na mawazo yako
rubii sawa nakuelewa lakini point yangu ni hile kuna wakati unakuwa single mpaka unachanganikiwa afu then hupati mtu unakuwa upo upo Kama leo hii Valentine's lakin upo ndani alone na hela ipo mfukoni Kama Mama Kizmkaz [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mapenzi hayanunuliwi na hayaji kwa kulazimisha mapenzi ni hisia tu na wakati ukifika yanakuja tu
So relax.
Pia furaha ya kwanza inaaanza kwako mwenyewe jitengenezee mazingira ya kufurahia maisha bila wengine
Hata ukipata mwingine unaweza kumuambukiza kufurahia maisha mkafurahia wote