Huyo mtu unataka uongee nae nini mkuu 😁Ile hali unarudi ndani halafu pako kimya.
Hakuna wa kukupokea Wala kukuongelesha.
Unajikuta simu na Tv ndio mfariji wako.
Halooo.
Kuongea na mtu live mpaka kazini tena
Tusiongee kama third floor inatuchanganya 😁😁😁Mmeanza 😂😂😂😂
Tusiongee kama third floor inatuchanganya 😁😁😁
Utani pembeni, ila kizazi chetu kimepagawa na maisha
Kuna mtu alisema hii karne suala la 3rd floor na hujafanya mambo flan flan ni kama laana.
Hivi na kwa wenzetu iko hivi? Au ni Tanzania tu ndo 3rd floor inaangaliwa kwa macho manne?
Maisha yamekuwa juu. Wengine maokoto ni yale yale hayana increment miaka nenda rudi. Lazima uone mambo ni namna gani pale
Mkuu mbona umechafukwa sana,..🧐🤔Kuoa ni kuzuia umri usiende?
Ni afadhali kuishi kwenye kisiwa Cha Ukara pekeyangu kuliko kuoa haya mazwazwa yasiyo na shukrani Wala utu. Kumània zao
[emoji23][emoji23] kuna time mkuu pesa inachomoa. Muulize mtoa mada
Pole mkuu ila nikutie moyo usipaniki tulia tu utapata mtu sahihi usingle ni mpito tu jaribu kujiweka busy nenda kawatch mpira,mazoezi ,tafuta pesa na maendeleo usisahau kuomba.Aisee! Ukiwa single unakuwa mpweke sana unakuwa Kama umetengwa kwenye kakisiwa kako uko Ukerewe ndani ndani. Kuna muda mpaka unapata mawazo ya kuanza kuwaza umri wako wa miaka 30 plus aisee hii mbaya sana.
Wapendwa mniombee in magu voice!!
Haaaaaah nyie wazee nataka pisi nyeusi Kama Mariam biriani afu iwe iwe ndefu kidogo nikitembea nae wanyakyusa na wasafwa wa Mbeya wanashtuka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtaweza Babu?Ukishindwa tupe Wazee kazi ya kukutafutia huyo MkaMwana.
Tunauhakika wa kukuletea Pisi Kali yenye Elimu nzuri/Tabia njema/yenye hofu ya Mungu bila kusahau yenye Chura kama ya Snura [emoji12]
Amen mkuu napokea ushauri kwa mikono miwiliPole mkuu ila nikutie moyo usipaniki tulia tu utapata mtu sahihi usingle ni mpito tu jaribu kujiweka busy nenda kawatch mpira,mazoezi ,tafuta pesa na maendeleo usisahau kuomba.
Kweli mkuu hii shida sijui inakua nini?Kuna time nilikua na kila kitu cha kunipa furaha kasoro mwenza, hadi nilitoa tinred kwa gari nikihisi watu wanaona naringa labda kila kitu kilinikubali,hata kamali nilikua nikicheza nakula kiasi kukubwa cha pesa ila walinizunguka ni masnichi vibaya.
Pesa
Mkuu shida sio furaha unajua sometimes unataka ata yule mtu wa kuwa naye siku nzima mnapiga story mnatoka ata kaout kidogo sijui unaelewa mkuu?Kuwa mpeke sio upweke mkuu. Tengeneza kichaka chako cha furaha hata akija waubavu mnashea hiyo furaha. Lakini kama hauna furaha ukiwa mwenyewe hata akija mtu kwenye hicho kichaka ni majanga tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee mzee uko na bahati sanaNi Mungu tu sikuwa na hela na nilikuwa nimepauka kama magoti ya mbuzi.Lakini kuna binti akanipenda kutoka 2011 mpaka sasa hivi.Ananivumilia kwa kila kitu.
Kwa hii migube gube iliyo jaa mjini?ila mwanaume kuwa single ni kujitakia mwenyewe tu
Sana mkuu.Bado tunalisukuma gurudumu tunaelekea kuwa wazee sasa.Aisee mzee uko na bahati sana
Nina Wajukuu 2 humu wenye hivyo viwango.Haaaaaah nyie wazee nataka pisi nyeusi Kama Mariam biriani afu iwe iwe ndefu kidogo nikitembea nae wanyakyusa na wasafwa wa Mbeya wanashtuka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtaweza Babu?
Asante dada nime-dinda.Mbona mm napenda hayo maisha jamni full kupumzika[emoji3]
Napika huku naimba
natoka chooni uchi had chumbani naenjoy [emoji23][emoji23]nacheza mziki humo ndani nikitosheka naingiamtandaoni Nacheka had jino la mwisho