buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 3,139
- 6,283
nakomaa na samaki wabichi kutioka mwanza kuleta dar
Poa bosi
nakomaa na samaki wabichi kutioka mwanza kuleta dar
asante ndugu yangu tunajaribu kufanya tunachowezaHilo la kumiliki na kukomboa muda wako wa kuutumia unavyotaka, ndio bonasi mojawapo kubwa ya kuwa mtu aliyesimama kwenye shughuli zake.
asanteHongera sana Mkuu
Go for it then, you won't regret.Wakuu mje kunitia moyo. Mimi nimemaliza form six mwaka huu. Ila naona ndoto yangu ya ujasiriamali ni kubwa kuliko kupoteza miaka 3 chuo na kozi zisizona uhalisia.
unaingia visiwan??nakomaa na samaki wabichi kutioka mwanza kuleta dar
lakini haikua rahisiGo for it then, you won't regret.
Elon Musk, Bill Gates, Larry Ellison, Michael Dell...wote waliacha chuo kupursue their dreams, and they are billionaires by now
Namaanisha kuajiri watu ,mfano ukinunua bajaji ukampa kijana anakuletea pesa jion, hivyo ndo unakuwa umenunua mda wa mtuMkuu naomba ufafanuzi kuhusu zana ya kununua mda wa watu
Naomba nije PM nijifunze kwako.Kwangu mm vitu ni vingi mnooo vilivyopelekea kuvitunza vyeti vyangu kwenye sanduku LA chuma,..lakini hivi ndivyo nilianza navyo;
•Uthubutu
•Kuvua aibu/kutojali nitaonekanaje
•Kujiamini kuwa nitaweza
•Hamu ya kutimiza malengo..n.k.
Karibu chiefNaomba nije PM nijifunze kwako.
Ebwana naomba maujanja jinsi ya kusafirishanakomaa na samaki wabichi kutioka mwanza kuleta dar
Nami ntavitumia ipasavo,Kwangu mm vitu ni vingi mnooo vilivyopelekea kuvitunza vyeti vyangu kwenye sanduku LA chuma,..lakini hivi ndivyo nilianza navyo;
•Uthubutu
•Kuvua aibu/kutojali nitaonekanaje
•Kujiamini kuwa nitaweza
•Hamu ya kutimiza malengo..n.k.
Kusafirisha sio inshu sana, inshu ni kupata mtu atakayekuwa anakuandalia mzigo halafu anakutumia, huyo mtu atakuwa anazifata kisiwani au ananunulia pale mjini (ila bei nzuri zipo Kisiwani), kipindi anazikusanya atahakikisha samaki zipo kwenye barafu muda wote mpaka atakaporejea town. akifika town anatakiwa kuzigandisha (sh 200 kwa kila kg 1) then anasubiria usafiri wa kuleta huku dar. bei ya kusafirisha ni sh 16000 kwa kila kg 100.Ebwana naomba maujanja jinsi ya kusafirisha
kuna partner wangu wa biashara yupo huko mwanza, yeye ndo anaenda visiwani na kufanya kila kitu kuhakikisha mzigo unanifikia, halafu mimi na u push kwa watejaunaingia visiwan??
pamoja sanaPoa bosi
Those people had rich parents.Go for it then, you won't regret.
Elon Musk, Bill Gates, Larry Ellison, Michael Dell...wote waliacha chuo kupursue their dreams, and they are billionaires by now
True my friend