Uliwezaje kufungia vyeti kabatini kisha ukajiajiri?


kindly girl

kindly girl

Member
Joined
Aug 25, 2018
Messages
79
Likes
42
Points
25
kindly girl

kindly girl

Member
Joined Aug 25, 2018
79 42 25
Mi nipo chuo na tayar nimeshajiajiri Sasa iv nakula shumbwela tu hata ikitokea nimemaliza chuo Leo sitowaza kuhusu ajira na Wala sitarudi nyumbani kugombania vipande vya muogo na wadogo zangu....

Ushauli kwa wanachuo: how can I employee my self?? "Change your words" change your Life. Utaona mwenyewe utakavyobadilika kimaisha......
Lastly..kwa wote do the thing to day that your future will thank you for.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umejiajiri ktk kitu gani!??..
Hebu tueleze mkuu unaweza fungua wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bichwa bure

Bichwa bure

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2017
Messages
242
Likes
122
Points
60
Bichwa bure

Bichwa bure

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2017
242 122 60
Mi nipo chuo na tayar nimeshajiajiri Sasa iv nakula shumbwela tu hata ikitokea nimemaliza chuo Leo sitowaza kuhusu ajira na Wala sitarudi nyumbani kugombania vipande vya muogo na wadogo zangu....

Ushauli kwa wanachuo: how can I employee my self?? "Change your words" change your Life. Utaona mwenyewe utakavyobadilika kimaisha......
Lastly..kwa wote do the thing to day that your future will thank you for.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee nipe dondoo unafanya biashara gani maana mimi kuna biashara mzee sioni return sijui ndio mwanzo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bichwa bure

Bichwa bure

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2017
Messages
242
Likes
122
Points
60
Bichwa bure

Bichwa bure

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2017
242 122 60
Wakati nasoma nikiweka akilini vitu viwili.....hakuna bilionea anaelipwa mshahara(wanajiajiri)....na nikakumbuka mimi napenda raha nikakumbuka safari za mama kikazi nikaona kabisa haya maisha ya kumuita mtu bosi ni magumu....,nilipomaliza chuo nikapata kazi ya muda lakini niliishia kuwa mfanyakazi mvivu kuliko wote ndipo nikajitahidi kuiba sana na hatimaye sasa hivi nazunguka tu kitini kahawa pembeni/asante mungu View attachment 998393
Mzee tuekezee ulipopita nasisi tuje kaa kama hapo mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MATALUMA

MATALUMA

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2017
Messages
380
Likes
331
Points
80
MATALUMA

MATALUMA

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2017
380 331 80
Kama umeanza biashara kwa pesa ya kuiba trust me hiyo biashara yako haita kuwa endelevu utakumbwa na misukosuko.
Habari hii imekaribiana na ukweli. Mimi saiv nmeshafilisika kwa hela kaa hzo. Nilijitahidi sana kuilinda lkn ilipotea. Kwa sasa napambana niinuke tena kwa fedha halali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,261,291
Members 485,110
Posts 30,085,245