Uliwezaje kufungia vyeti kabatini kisha ukajiajiri?

Hilo la kumiliki na kukomboa muda wako wa kuutumia unavyotaka, ndio bonasi mojawapo kubwa ya kuwa mtu aliyesimama kwenye shughuli zake.
asante ndugu yangu tunajaribu kufanya tunachoweza
 
gimmy's
Povu la nini sasa?...hahahaha hata namna ulivyo ni attack inaonesha kabisa unahaki ya kutofata cheti chako kwa sababu hakina sifa ya wewe kuajiriwa!

Nilitegemea ungeona mantiki katika andishi langu na wewe kujenga hoja na sio mapovu!

Kama nilichosema si cha kweli si ungenijibu kwa hoja tu kuliko kunishambualia ambaye hata hunijui kwamba nimejiajiri au nimeajiriwa!?

Ukweli unauma. Ila lazima tuuseme. Kama umesoma na ukafaulu daraja la juu na ajira kugonga mezani kwako uliikataa ajira kwamba unakiherehere cha kujiajiri?

Labda umesomea mikozi ambayo inakusukuma kufanya kazi ambazo kamwe huzipendi na ulisoma kozi hiyo pasi kuitaka.

Hebu niambie nipe mfano aliyesoma na kupata kazi yenye mshara mnono sema TPA, SUMATRA, au TRA akakataa na kuenda kujiajiri kufuga kuku na kulima matikiti Kigamboni?

Usiwe na jazba jombaa, upo huko kwa sababu umekosa kuajiriwa katika mahali ulipokuwa unapataka!
 
Wakuu mje kunitia moyo. Mimi nimemaliza form six mwaka huu. Ila naona ndoto yangu ya ujasiriamali ni kubwa kuliko kupoteza miaka 3 chuo na kozi zisizona uhalisia.
Go for it then, you won't regret.
Elon Musk, Bill Gates, Larry Ellison, Michael Dell...wote waliacha chuo kupursue their dreams, and they are billionaires by now
 
Kwangu mm vitu ni vingi mnooo vilivyopelekea kuvitunza vyeti vyangu kwenye sanduku LA chuma,..lakini hivi ndivyo nilianza navyo;

•Uthubutu
•Kuvua aibu/kutojali nitaonekanaje
•Kujiamini kuwa nitaweza
•Hamu ya kutimiza malengo..n.k.
Naomba nije PM nijifunze kwako.
 
Kwangu mm vitu ni vingi mnooo vilivyopelekea kuvitunza vyeti vyangu kwenye sanduku LA chuma,..lakini hivi ndivyo nilianza navyo;

•Uthubutu
•Kuvua aibu/kutojali nitaonekanaje
•Kujiamini kuwa nitaweza
•Hamu ya kutimiza malengo..n.k.
Nami ntavitumia ipasavo,
 
Ebwana naomba maujanja jinsi ya kusafirisha
Kusafirisha sio inshu sana, inshu ni kupata mtu atakayekuwa anakuandalia mzigo halafu anakutumia, huyo mtu atakuwa anazifata kisiwani au ananunulia pale mjini (ila bei nzuri zipo Kisiwani), kipindi anazikusanya atahakikisha samaki zipo kwenye barafu muda wote mpaka atakaporejea town. akifika town anatakiwa kuzigandisha (sh 200 kwa kila kg 1) then anasubiria usafiri wa kuleta huku dar. bei ya kusafirisha ni sh 16000 kwa kila kg 100.
ila kabla ya yote hayo unatakiwa kuwa na leseni ya ukusanyaji mazao ya samaki itakayo kuwezesha kupata kibali (kibali huandikwa kila mara unapotaka kutuma mzigo na ni bure kabisa kwani afsa wa maliasili atakuja kukagua kama samaki zin kidhi matakwa ya sheria (hapo futi inahusika) halafu anakuandia hicho kibali.
 
Back
Top Bottom