Panctuality
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 1,159
- 1,747
- Thread starter
- #21
Kuzini na wake za watu.Wewe zako ni zipi?
Loooh naijutia sana hii dhambi.
Kuzini na wake za watu.Wewe zako ni zipi?
Kama hayo makosa kadhaa yalimuumiza, kushusha utu, kumkasirisha mtu mwingine basi hizo ni dhambi pia.Sijawahi tenda dhambi kamwe , ila nimefanya makosa kadhaa
Ulikuwa na lengo la kula kuku na kifaranga chake.Nilinusa chupi ya mama mkwe .
Kwa muktadha wa kumtendea mtu mwingine, dhambi ni kitendo, neno, au nia ambayo inamdhuru, kumkosea, kumnyima haki, au kumfanyia mtu jambo ambalo ni kinyume na maadili mema na amri za Mungu.Naomba kujua kwanza maana ya dhambi.
Lakini wanasema malipo ni hapa hapa.😃😂😂😂.kwa hiyo jiandae.Kuzini na wake za watu.
Loooh naijutia sana hii dhambi.
Safi akili kubwaNaomba kujua kwanza maana ya dhambi.
Hiyo mixx ndio nini? TufafanulieNilitafuna mixx
Kama ni hivo lazima atakuwa amekuchokozaKwa muktadha wa kumtendea mtu mwingine, dhambi ni kitendo, neno, au nia ambayo inamdhuru, kumkosea, kumnyima haki, au kumfanyia mtu jambo ambalo ni kinyume na maadili mema na amri za Mungu.
Nimekua kwa misingi ya dini hivyo nimekua nikiamini kwamba kudinya mtoto wa mtu Mungu hapendi kwahyo nimekaa miaka 26 tokea nizaliwe na kwa mara ya kwanza nikadinya mtoto wa mtu aisee nilijuta sana nilipomaliza na naliyemdinya anangangania tuendelee. niliona kuna kitu mwilini nimepungukiwa yan sina amani kabisa nikaanza kujuta why nimedinya .aisee imani inanguvu sanaMaisha ya mwanadamu yamejaa maamuzi mbalimbali. Wakati mwingine tunafanya mambo kwa sababu ya hasira, tamaa, ujinga, ushawishi wa marafiki, au kutokufikiria madhara yake ya baadaye.
Baadhi ya matendo hayo yanaweza kutufanya tufurahie kwa muda mfupi, lakini baadaye yakatuacha na majuto moyoni.
Kila mtu anaweza kuwa na jambo fulani katika maisha yake ambalo akilikumbuka hujiuliza: "Kwa nini nilifanya hivyo?" Huenda ilikuwa ni kumuumiza mtu bila sababu, kusema maneno makali, kupoteza muda katika mambo yasiyo na maana, kuacha kufanya jambo jema, kuvunja ahadi, au kufanya kosa ambalo lilimfundisha somo kubwa.
Lakini majuto hayapaswi kuwa mwisho wa safari. Mara nyingi majuto huwa ni mwanzo wa mabadiliko. Mtu anapotambua kosa lake, ana nafasi ya kujirekebisha, kuomba msamaha, kusamehewa na kuwa mtu bora zaidi kuliko jana.
Hakuna binadamu mkamilifu duniani. Tofauti kubwa ipo kwa yule anayekubali makosa yake na kujifunza kutoka nayo, na yule anayekataa kuona makosa yake.
Leo hebu tushirikiane kwa uaminifu na heshima:
Uliwahi kufanya dhambi au kosa gani duniani ambalo mpaka leo unalijutia?
Ungeanza wewe kutuwekeaMaisha ya mwanadamu yamejaa maamuzi mbalimbali. Wakati mwingine tunafanya mambo kwa sababu ya hasira, tamaa, ujinga, ushawishi wa marafiki, au kutokufikiria madhara yake ya baadaye.
Baadhi ya matendo hayo yanaweza kutufanya tufurahie kwa muda mfupi, lakini baadaye yakatuacha na majuto moyoni.
Kila mtu anaweza kuwa na jambo fulani katika maisha yake ambalo akilikumbuka hujiuliza: "Kwa nini nilifanya hivyo?" Huenda ilikuwa ni kumuumiza mtu bila sababu, kusema maneno makali, kupoteza muda katika mambo yasiyo na maana, kuacha kufanya jambo jema, kuvunja ahadi, au kufanya kosa ambalo lilimfundisha somo kubwa.
Lakini majuto hayapaswi kuwa mwisho wa safari. Mara nyingi majuto huwa ni mwanzo wa mabadiliko. Mtu anapotambua kosa lake, ana nafasi ya kujirekebisha, kuomba msamaha, kusamehewa na kuwa mtu bora zaidi kuliko jana.
Hakuna binadamu mkamilifu duniani. Tofauti kubwa ipo kwa yule anayekubali makosa yake na kujifunza kutoka nayo, na yule anayekataa kuona makosa yake.
Leo hebu tushirikiane kwa uaminifu na heshima:
Uliwahi kufanya dhambi au kosa gani duniani ambalo mpaka leo unalijutia?
Angalia reply #21Ungeanza wewe kutuwekea
Dhambi uliyowahi kuifanya
Ova
Wake za watu umewafyatuaAngalia reply #21
Walikuwa wanajirengesha wenyewe na wakati huo nilikuwa najua kuwa ni wake za watu, so hakukuwa na namna ilinipasa kuwafyatua tu.Wake za watu umewafyatua
Sana lkn si walikuwa wanajilengesha wenyewe au
We ulikuwa unajuwa fika ni wake za watu na ukawafyatua
Ova