Ulitoboa maisha ukiwa na umri gani?

Ulitoboa maisha ukiwa na umri gani?

Nawasalimu wakubwa zangu wote, Natumai Nyote ni Wazima wa afya huku tukiendelea kuusubiri Mwaka mwingine tena(2021)
.
BACK TO THE TOPIC
Mimi ni graduate wa chuo mwaka huu na umri wangu ni early 20s, Nipo mtaani sina mbele wala nyuma na sioni dalili zozote za kutoboa kimaisha ivi karibuni...Kuna mda nikikaa mwenyewe nawaza mengi sana moyoni "Ivi kweli namimi nitakuja kujenga na kuwa na familia kama wengine" b'coz mpaka sasa ni mtu wa kusubiri ugali mezani
.
.
Hivyo basi ningependa kusikia maoni na ushauri kutoka kwa WAKUBWA ,Je Ninyi Mlitoboa MAISHA mkiwa na UMRI gani???? hasa wanaume ambaye ni nguzo kuu ya kujenga familia, Lengo kubwa la kuuliza ivyo ni kwamba mawazo yananiua mdogo mdogo,kwa kifupi najiona kama Nimechelewa ivi na bado nazidi kuchelewa
.
.
#LIVE,LAUGH,FOCUS

NAWASILISHAA, POVU RUKSA
Duh! bro pole sana, lakin kwa umri wako still ni mwanafunzi..

Anyway maisha yanaanzia hapo ulipo for now, uko nyumbn kama ulivo dai unasubiri ugari haipendezi, ikiwa tayari usha maliza chuo basi jishughulishe na vitu vidgo vidgo ukiwa hapo home pia jichanganye na vijana wezio walio fanikiwa ili upate idia ni wap uanzie vipo vitu vingi vya kufanya kwa muda huo unasubiri ajira tatizo la wasomi wengi hamtaki kufanya kazi za kuwatoa jasho kwa kulinda elimu yenu kwa jamii lakn sio hvo mnakosea kuna kitu kinaitw boda boda mkuu kama unajua kuendesha pikipik hyo inaweza kukuvusha kutoka hatua moja kwenda hatua nyingine ukiachana na ilo kesho nenda mjini sehem yeyotw uliyopo ujifunze kutoka kwa wengine ajua kuna vijana wengi sana na wanajishughulisha na mambo mbali mbali angalia shughuri unayo weza kuifanya kisha peleleza namn ya kuanza kama ni issu inaitaji mtaji najua kama baba ako aliweza kukulipumia mamilion chuo hawezi shindwa kukupa mtaji ikiwa ni njia ya kukujenga kimaisha hizo habari za kutoboa zinakuja ukiwa na tayari usha pata sehemu ya kuanzia

Ushari..
 
BINAFSI kwangu mimi tafsiri ya kutoboa maisha ni Kuweza kusimama peke yako FINANCIALLY, na pia kuweza kupata basic needs (food,clothing & shelter) huku ukibaki na akiba
Na huwezi kusimama peke yako ikiwa hauna roho ya uthubutu na kujituma...
 
Usiogope mdogo wangu tupo wengi, Mimi nina miaka 55 lakini hakuna tobo lolote nimewahi toboa mpaka sasa, na ni kati ya viumbe wachache wenye furaha duniani..!

Kabisa mzee mwenzangu kuwa na furaha ni jambo muhimu sana maana kuna wenye kila kitu lakini wana maisha ya upweke na simanzi daily, hawana wanaemuamini wala anaewaona kama binadamu zaidi ya kuwa money generating machines.

Ila tusisahau pia kutafuta pesa maana umaskini haununui chochote zaidi ya kuleta stress zinazoepukika miss carly
 
Duh! bro pole sana, lakin kwa umri wako still ni mwanafunzi..

Anyway maisha yanaanzia hapo ulipo for now, uko nyumbn kama ulivo dai unasubiri ugari haipendezi, ikiwa tayari usha maliza chuo basi jishughulishe na vitu vidgo vidgo ukiwa hapo home pia jichanganye na vijana wezio walio fanikiwa ili upate idia ni wap uanzie vipo vitu vingi vya kufanya kwa muda huo unasubiri ajira tatizo la wasomi wengi hamtaki kufanya kazi za kuwatoa jasho kwa kulinda elimu yenu kwa jamii lakn sio hvo mnakosea kuna kitu kinaitw boda boda mkuu kama unajua kuendesha pikipik hyo inaweza kukuvusha kutoka hatua moja kwenda hatua nyingine ukiachana na ilo kesho nenda mjini sehem yeyotw uliyopo ujifunze kutoka kwa wengine ajua kuna vijana wengi sana na wanajishughulisha na mambo mbali mbali angalia shughuri unayo weza kuifanya kisha peleleza namn ya kuanza kama ni issu inaitaji mtaji najua kama baba ako aliweza kukulipumia mamilion chuo hawezi shindwa kukupa mtaji ikiwa ni njia ya kukujenga kimaisha hizo habari za kutoboa zinakuja ukiwa na tayari usha pata sehemu ya kuanzia

Ushari..
Shukran Mkuu...Tatizo la WAZAZI wetu hapa Bongo ni rahisi Kukulipia hata ADA ya milioni Tatu kuliko kukupa Mtaji wa 3M wa biashara
 
kabisa mzee mwenzangu kuwa na furaha ni jambo muhimu sana maana kuna wenye kila kitu lakini wana maisha ya upweke na simanzi daily, hawana wanaemuamini wala anaewaona kama binadamu zaidi ya kuwa money generating machines.

Ila tusisahau pia kutafuta pesa maana umaskini haununui chochote zaidi ya kuleta stress zinazoepukika miss carly
Nakuelewa sana mzee mwenzangu [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Usiogope mdogo wangu tupo wengi, Mimi nina miaka 55 lakini hakuna tobo lolote nimewahi toboa mpaka sasa, na ni kati ya viumbe wachache wenye furaha duniani..!
Inamaana na MENOPAUSE ushajiunga!?
 
Back
Top Bottom