mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,401
- 23,193
Wewe ushatoboa nini mtoto mzuri?[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ushatoboa nini mtoto mzuri?[emoji23][emoji23][emoji23]
ukimaliza tafakuri pita Inbox tuongee zaidiNaendelea kutafakari ili nielewe kwa urahisi
Afadhali UMEELEWA 😁👏👏👏Yangu inafuata ile Maslow's theory of needs. Ila hadi sasa bado sijajua nipo wapi kwenye ile pyramid
Nina 50+ sina dalili ya kutoboa
SexlessMm nina 47 tayari nimetoboa maisha.
Ninaendesha bodaboda, nalisha familia yangu na nalipa kodi ya pango kwa wakati.
Hapo sijatoboa maisha ndugu zangu?
In jf we use fake IDs, thus fake sex and sometimes fake content.Sexless
Kwann unageuka geuka sana.....!!!!
Mara Mwanaume...!!!Mara Mwanamke
Dah
Kweli ww umetoboa kila kitu
Dah aisee kuwa na huruma basi...Toboa hata pua mkuu!
Dah haya bwana...hongera sanaWengine program na malengo yetu tulishayapanga miaka 15 iliyopita na ndoto yakaribia tuliweka malengo mpaka ifikapo 2022 umaskini byee.Siku njema huonekana usiku na siyo asubuhi.
Ah mpka nilipo si haba mkuu nashukuru mungu asieee hyo stage wanayo iangaikia watu ya kula kulala na kuvaa me nisha ivuka aisee niko stage nyingine kbaaaWewe ushatoboa nini mtoto mzuri?
Dah haya bwana...hongera sana
Hujatoboa lolote kivipi? Kufikisha 55 siyo mchezo umetoboa umri.Usiogope mdogo wangu tupo wengi, Mimi nina miaka 55 lakini hakuna tobo lolote nimewahi toboa mpaka sasa, na ni kati ya viumbe wachache wenye furaha duniani..!
Mungu ni mwemaAh mpka nilipo si haba mkuu nashukuru mungu asieee hyo stage wanayo iangaikia watu ya kula kulala na kuvaa me nisha ivuka aisee niko stage nyingine kbaaa
Mungu ni mwema wakati wote[emoji120]Mungu ni mwema
AmenMungu ni mwema wakati wote[emoji120]
Haya ngoja nianze kusave mia miaAhsante. Ni kuwa na makusudio tu malengo yanatimia.Kama nina uwezo wa kupata moja basi nina uhakika nina uwezo wa kupata mia kwa sababu nilishakuwa na nia toka hapo kitambo.usipotimiza ndoto zako utaajiriwa utimize ndoto za wengine.
Kuoa na kuolewa ni mafanikio??[emoji23][emoji23][emoji23]Umeliki ndinga, nyumba,na ofsi mkuu uitwe boss,uitwe mume,uitwe baba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]