Ulitafutiwa makosa gani ndio ukaachwa?

Nilishawahi kusimamia maamuzi magumu nikaachwa, demu akarudia ile mipango yake ya upigaji kesho yake, nikamtupa tena, niakaachwa tena, yaani niliachwa kama wiki nzima kila siku naachwa, mwisho nikawa napiga tu papuchi kama mchepuko wake
 
Habari za humu?

Leo nimeona tupeane sababu zianzofanya wapenzi kuachwa na wapenzi wao,yaani kiufupi tujadili au kushare uzoefu wa vitu vinavyopelekea mtu kuachwa na mpenzi wake ili kujitahidi kuepukana navyo ili mahusiano yaendelee kudumu.

Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita aliyekuwa mpenzi wangu alinipigia simu mida ya jioni wakati mimi nikiwa chuo na yeye nimemuacha yuko mtaani kwenye mishe za hapa na pale.

Tulizungumza mambo mengi ikiwa ni pamoja na mipango kuhusu namna tutakavyoijenga familia yetu baada ya kuoana ambapo mambo ya kujenga familia tulikuwa tukiyajadili mara kwa mara iwe kwenye simu au tukiwa wote wawili pamoja.

Basi bwana siku hiyo yule demu baada ya mazungumzo hayo na mengine mengi alianza kuniuliza maswali ambayo binafsi nilidhani ni ya kutaka kujua tu muelekeo wa mapenzi yetu baada ya mimi kuhitimu chuo na kurudi kuwa pamoja na yeye.

Aliniuliza hivi "chuo unamaliza lini?" nami nikamjibu vuzuri tu japo nilikuwa nishamwambia kila kitu. Baada ya swali hilo akaja na swali lingine "kwahiyo baada ya kumaliza utaajiliwa baada ya muda gani?" nami pia bila kujiuliza mantiki ya maswali yake ni yapi nikamwambia kwamba kutokana na uhaba wa ajira kwa miaka hii ni kuomba Mungu isipite miaka mitano bila kuajiriwa. Nikaongeza kwa kumtia moyo kwamba hata bila ajira,mimi sitakaa kuzisubiri na hivyo lazima nitapambana kwa namna yoyote ile ili maisha yetu yaendelee. Baada ya hapo akakata simu na kunitumia meseji iliyosomeka "kuanzia leo ufute namba yangu kwenye simu yako na usinitafute nina mpenzi wangu ambae tunapendana". Being honest,sikuamini yale maneno nikaamua kumpigia kwa kudhani huwenda alikuwa anachati na mtu mwingine kwahyo amekosea lakini simu haikupokelewa na badala yake aliishia kukata tu mpaka mara tano ndipo nikaamini ujumbe ule ulinilenga mimi moja kwa moja.
Asikwambie mtu mapenzi yanauma ase hasa inapotokea wewe ndyo unaachwa na bila sababu ya msingi au pengine kwa kuongea ukweli kwa mpanzi wako.
 
Imalizie vizuri sasa mkuu 😁😁😁
 
Niliachwa kisa sina hela, nikavunga tu baada ya miezi michache kupita nikamtongoza mdogo wake akanielewa na bahati nzuri nakuta mtoto bado yupo sealed kmmk nikamtoa seal na sasa hivi dada yake anaanza kurudisha majeshi nyuma tupashe kipolo ila muhuni namkazia tu bahati mbaya mdogo wake ni pisi kuliko yeyealinitesa sana mbwa yule zamu yake sasa hivi
 
Time nipo chuo mwaka wa kwanza niliwai kumtia rafiki wa demu wangu (nilikuwa sijui kuwa wanajuana)

Sasa huyo demu niliyemgonga akanipost DP na makopakopa

Demu wangu akaona (yeye alikuwa anasoma chuo kingine)
Alivyoniuliza nikajitetea nikakana kabisa kuwa simjui huyo demu labda kanipost kwa kuwa mm ni hb (japokuwa najijua sina uHB wowote zaidi ya urefu)

Basi demu wangu akawa mpole tukaendelea mapenzi mwaka wa pili na watatu tukamaliza vyuo punde si punde demu wangu akapata connection ya Tiss then after kozi akapangiwa kuwa kichomi Tasac (vuta picha mshahara wa tiss plus wa Tasac)
Nikaona maisha sindio haya nikawa nakenua tu meno (time hizo mm bado sijapata kazi ila nilikuwa nasimamia kampuni ya usafirishaji ya shemeji yangu na silipwi chochote)

Basi bwana wee si nikaanza kujipa mamlaka ya pesa za demu wangu nikawa namwambia awe ananipa tuanzishe ujenzi wa kunyumba za kupangisha

Siku moja akanitoa out (alinipa pesa nishike ili nijione kidume) time tupo out ndio akaniambia kuwa mm ni Malaya nilimsaliti time tupo chuo mwaka wa kwanza hivyo basi hawezi kuendelea na mimi sikulia wala kucheka ila nilishangaa tu

But God is good time ananiacha alikuwa na mimba bila yeye kujua na alvyojua alinipa taarifa tu ila akasema nisimzoee atanipoteza

Mtoto huwa naishia kutumiwa picha moja kwa mwezi na hata sijui now wapo wap ila one day nitawapata tu
 
Back
Top Bottom