Ulishughulika vipi na kisa cha namna hii?

Ulishughulika vipi na kisa cha namna hii?

Kamati ya roho mbaya

Nashindwa kuelewa kosa la Prisca ni nini? Kwa kipindi kile alikua na mtu, mlitaka akubali mwanaume mwingine wakati tayari ana mtu? Angeitwa majina mabaya yote.

Kwa sasa yupo Single kaona ni wakati wa kuwa na huyu, kosa lake ni nini?
Alikuwa namtu baada ya kumkazia baharia. Amna kitu kinauma roho kama umtokee classmate mwaka mzima halafu ndani ya week tu mwisho kabla ya kufunga shule anaenda beach na mwana aliyemkubalia wakati we alikuwa anakukazia deile ukicheki pia mko class moja.

Usithubutu kukutwa na bwana pepsi 😅😅😅! Niliwahi kumpotezea demu kuanzia diploma mpaka namalizia degree hata salamu yangu tu simpi na hapo awali tulikuwa marafiki kichizi.
 
Usithubutu kukutwa na bwana pepsi ! Niliwahi kumpotezea demu kuanzia diploma mpaka namalizia degree hata salamu yangu tu simpi na hapo awali tulikuwa marafiki.
Basi wacha kumkumbusha machungu jamaa utamfanya amstopishe kuja geto kumkula
 
Mimi nafikiri tangu mwanzo alipaswa kumdanganya mahali pa kuishi alivyomwambia amepanga naona kama kakosea ilipaswa angemwambia anakaa kwa braza hili kukutana iwe gesti mana mademu kama hawa umri ushakuwa shikamoo jazi anatafuta pa kufia apate ndoa, sasa uyu mjomba inabidi amkatae kibishi tu amkazie kuwa nilikuwa nakudanganya sina geto nakaa kwa braza hili akamtindue gesti hili awe anamsoma mdo mdo na akifanya kinyume na hivi walai ataleta uzi mwingine hapa wa majanga
Asante kwa kunishauri
 
Huko kwenye five na six ndio huwa tuna mapenzi ya kweli,Prisca alikuwa hampendi mshkaji hata kwa mbali,kwa Sasa Prisca kapoteza dira anataka Pete so Bora apate hata ya mtu asiyempenda..karukaruka huko ndio aje ampe mshikaji makapi aendelee tu na safari
Nashkuru sana dada Joanah
 
Huwa tunakuwa tuna watu tunaowapenda na matarajio nao kumbe ni mabazazi...matokeo tukishatendwa tunaanza kuangalia angali option B😁😁
Ni ngumu sana kuwalaumu waschana kwa sababu hata nyie huwa hamjui yupi hasa ana nia njema nanyi
 
Wanyooshe vidole wale wote waliooa wanawake ambao waliwakuta bikira au hawajawahi kudate na mtu yoyote, hao pekee ndio wanapaswa kumshauri Danny achape lapa...

Otherwise bwana mdogo Danny, katika kusoma andiko lako hakuna mahali ulipoweka bayana sababu ya wewe kukataliwa na Prisca mkiwa sekondari...

1.Kuna uwezekano binti alikuwa na mtu
2.Kuna uwezekano binti alifundwa vyema na wahenga zake
3.Kuna uwezekano hakuwa amepevuka akili kujua mwanaume anayemuhitaji maishani ni nani

Ushauri:
Anza mahusiano naye lakini pitia hatua zote za kumuelewa Prisca ni nani, na ni kwa nini akuhitaji wakati huuna sio wakati uliopita.

Tuchukulie kwa sasa ukamtosa Prisca, je huyo utayempata mwingine una hudubini ya kuweza kujua habari zake za zamani?
Kaka asante sana. Unachosema kina mantiki na sababu za msingi na wanachonishauri ndugu zangu wengine nao wana sababu za msingi. Nashkuru sana.
 
Aisee niliwahi pata kisa kama chako, nafika tu form 5 moyo ukadondokea kwa binti mmoja wa shule ya jirani! Yeye alikuwa form 2..

Nilifanya jitihada zote nimpate, hakuonesha interest yeyote na mimi, kidume nakomaa lakini wapi (story yake naweza andika kitabu), mengi nilipitia na mengine ya aibu hata kusimulia, ningefanyeje na moyo ushapenda, miaka miwili yote mpka naondoka ule mji mambo yalikuwa bila bila ila atleast nilikuwa na namba yake!

Baada ya kuondoka kule akaja akanikubalia, nadhan ile kutaka kuniridhisha tu maana nilikuwa mbali na sina madhara, kuna kipindi nikiwa nshaanza chuo nikamfunga safari kumfuata, dah yan alinikana hadharan akadai hata kusema ananipenda huwa anajilazimisha tu, nilijibebesha mwenyewe maua na kadi, ikabidi nimpe tu, pengine aliyatupa huko mbele ya safari.

Nilipiga moyo konde, nikaamua kusonga mbele..sikupanga kumtafuta tena na yeye alijua hilo, na akabaki kimya. Miaka ikaenda nikamaliza chuo, nikawa nshaanza kazi na maisha yanaendelea.

Basi siku moja napokea simu akajitambulisha kwamba ni yeye, story zikawa nyingi kama huyo prisca wako, akauliza kama nshaoa na akadai eti ananipenda

Nikaona isiwe kesi, nikamuuliza nitaamini vipi sasa, akadai anakofanya kazi ana likizo tayari hivyo kabla hajaenda kwao atasafiri kuja kwangu atakaa wiki.

Sikuwa na kipingamizi, alisafiri na akapika na kupakua wiki nzima, kiukweli nilikuwa bado nampenda ila target yake kuu niliiona ni kuolewa maana ndan ya hiyo wiki akataka anitambulishe kwa baba ake, niliwaza sana na nilichokuja kugundua ni kwamba mambo yake hayakwenda vile alivyopanga hasa baada ya kufeli form 4,hivyo akaona mimi ndo option ya mwisho kwake.

Baada ya wiki aliondoka na ndo ukawa mwisho wa story, miaka 8 sasa imepita bado sijapata mbadala wake, bado najuta kwanini sikujenga naye maisha, hasira ziliniponza maana kuna ajabu gani mtoto wa o level kukukataa!

Mkuu fuata moyo wako, kama unampenda mchukue tu.. mimi nataman siku zirudi nyuma ila ndo hivyo haiwezekani!
Asante kwa kushare uzoefu wako. Dah! Kesi ngumu sana kwangu hii. Nahisi maamuzi yoyote ntakayofanya yatanipa majuto tu!!!.
 
Kijana kijana

Usijaribu kuharibu maisha yako hakupendi lakini kawakosa wale alokuwa anao

Karusha kwako maana hawezi kaa mpweke bila mahusiano kbs narudia hakupendi

Mwanamke Kama anakupenda hata Kama atakukataaa lkn hawezi onyesha kwa vitendo narudia hakupendi

Usimpende na kuanzisha mahusiano na mwanamke asiyekupenda hakika utalia

Narudia utalia
We chagu aje piga na mwambie ninaye mwingine tayar kwa kumuoa
Asante sana
 
Alikuwa namtu baada ya kumkazia baharia. Amna kitu kinauma roho kama umtokee classmate mwaka mzima halafu ndani ya week tu mwisho kabla ya kufunga shule anaenda beach na mwana aliyemkubalia wakati we alikuwa anakukazia deile ukicheki pia mko class moja.

Usithubutu kukutwa na bwana pepsi 😅😅😅! Niliwahi kumpotezea demu kuanzia diploma mpaka namalizia degree hata salamu yangu tu simpi na hapo awali tulikuwa marafiki kichizi.
Aiseee!!! Maumivu yake asikwambie tu. Unajiuliza, bidii yote yote ile ya kutafuta kuongea nae kumpa offer canteen ila mwisho wake ndo huu?
 
Alikuwa namtu baada ya kumkazia baharia. Amna kitu kinauma roho kama umtokee classmate mwaka mzima halafu ndani ya week tu mwisho kabla ya kufunga shule anaenda beach na mwana aliyemkubalia wakati we alikuwa anakukazia deile ukicheki pia mko class moja.

Usithubutu kukutwa na bwana pepsi ! Niliwahi kumpotezea demu kuanzia diploma mpaka namalizia degree hata salamu yangu tu simpi na hapo awali tulikuwa marafiki kichizi.

Duuh kweli una kisasi kibaya, ungeendelea tu kumfanya rafiki
 
MDOGO wangu mimi nakushauri kama mwanamke, kwanza huyo binti kukukataa kipindi hicho chooote cha shule wala si kosa lake, sisi wanawake linapokuja swala la mahusiano tunabadilika kutokana na muda, wanaume tunaowapenda na kutaka kuwa nao katika u teenager sio tutakaowataka tunapofikisha miaka kuanzia 25-28 kwenda mbele. kuanzia umri huo ndipo huwa tunaanza kujua yupi husband material na yupi atakupotezea muda. Hivyo basi huyo binti wala si kwamba ana tatizo au vipi kama watu wanavyotka kukuaminisha, ila akili imeshapevuka ameshajua mbivu zipi na mbichi ni zipi. Cha msingi usiji force if u still think and feel she is the one go for it, ila kama unaona hayupo moyoni kiviiile achana nae, mpotezee treat her kama alivyokuwa ana ku treat wewe, acha akutafute usimtafute, msg usijibu au ukijibu iwe short and clear atajiongeza yeye mwenyewe na ku move on. Ila pia kama utaamua kuwa nae dont rush, take things slowly uweze kumjua kiundani na nia yake na kama usalama upo
 
Mimi nafikiri tangu mwanzo alipaswa kumdanganya mahali pa kuishi alivyomwambia amepanga naona kama kakosea ilipaswa angemwambia anakaa kwa braza hili kukutana iwe gesti mana mademu kama hawa umri ushakuwa shikamoo jazi anatafuta pa kufia apate ndoa, sasa uyu mjomba inabidi amkatae kibishi tu amkazie kuwa nilikuwa nakudanganya sina geto nakaa kwa braza hili akamtindue gesti hili awe anamsoma mdo mdo na akifanya kinyume na hivi walai ataleta uzi mwingine hapa wa majanga
Hata mimi nimewaza kama hivi.
Demu ambaye amekata tamaa na maisha ukiwaonesha geto huwa ni wasumbufu sana akija habanduki anataka akae mwezi mzima mwishowe anakuwa mke kilazima
 
Hata mimi nimewaza kama hivi.
Demu ambaye amekata tamaa na maisha ukiwaonesha geto huwa ni wasumbufu sana akija habanduki anataka akae mwezi mzima mwishowe anakuwa mke kilazima
Ndio ivyo mkuu ndo mana nikamwambia jamaa afanye hivi mana tumeshuhudia mengi sana
 
MDOGO wangu mimi nakushauri kama mwanamke, kwanza huyo binti kukukataa kipindi hicho chooote cha shule wala si kosa lake, sisi wanawake linapokuja swala la mahusiano tunabadilika kutokana na muda, wanaume tunaowapenda na kutaka kuwa nao katika u teenager sio tutakaowataka tunapofikisha miaka kuanzia 25-28 kwenda mbele. kuanzia umri huo ndipo huwa tunaanza kujua yupi husband material na yupi atakupotezea muda. Hivyo basi huyo binti wala si kwamba ana tatizo au vipi kama watu wanavyotka kukuaminisha, ila akili imeshapevuka ameshajua mbivu zipi na mbichi ni zipi. Cha msingi usiji force if u still think and feel she is the one go for it, ila kama unaona hayupo moyoni kiviiile achana nae, mpotezee treat her kama alivyokuwa ana ku treat wewe, acha akutafute usimtafute, msg usijibu au ukijibu iwe short and clear atajiongeza yeye mwenyewe na ku move on. Ila pia kama utaamua kuwa nae dont rush, take things slowly uweze kumjua kiundani na nia yake na kama usalama upo
Kumbe ndio mlivyoooo mkishajiona mmekuwa shikamoo jazi ndio mnaanza kufukua makaburi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom