Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,641
- 171,693
Sad in deed, baba mwenyewe kaishia kuchizika, alikuwa ndo first born, tegemeo la familia amefariki akiwa mwaka wa pili udsm, na chanzo ni kuwa alikuwa anamshauri dingi aanze ujenzi, mchepuko akaona ulaji utapunguaSo saaad!
Wachepuke tu ila mchepuko ubaki mchepuko na sio kuuhusisha na mambo ya family