Ulishawahi kuujua mchepuko wa mshua/baba yako

hahaha utaitwa sista mnoko. Yani haya mambo ya kuchepuka bana, sema tu watu wanachukulia kama haki yao. .ila wangekaa wakatafakari madhara yake. ...
Wananiita hivyo hvyo sitaki ujinga

Dada zangu wanawaambiaga mawifi mkishindwa kuishi na ma g!
nyie watata,kesi zao zetu wanaleta kwangu aiseeeh!wadogo zangu wananiogopa mno!

Upuuzi huu ukiulea mwisho wa siku unaturudia wenyewe!
Mungu atusamehe tuu, tunadhurika mnoo....naona unatuombea vibaya wakati huyu sheitwain' anatuzidi akili
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] shetani wewe na nafsi yako!
 
Haijawahi kutokea, Ila tu kwa tahadhari wababa wenye michepuko msiingize michepuko kwenye familia zenu, hata wao wanatamani kukaa ndani wewe kina mama wenye nyumba, kama walivo wake zenu....
Rafiki angu mmoja alifariki, inasekana kuna dawa za kienyeji baba alizileta home kapewa na mchepuko ampe mwanae zitamsaidia, masikini my friend alitumia hizo dawa hali ikawa mbaya na akafariki may her soul rest in peace
[emoji27] aisee!
 
Wananiita hivyo hvyo sitaki ujinga

Dada zangu wanawaambiaga mawifi mkishindwa kuishi na ma g!
nyie watata,kesi zao zetu wanaleta kwangu aiseeeh!wadogo zangu wananiogopa mno!

Upuuzi huu ukiulea mwisho wa siku unaturudia wenyewe!

[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] shetani wewe na nafsi yako!
Teh hatari kabisa
 
hahaha utaitwa sista mnoko. Yani haya mambo ya kuchepuka bana, sema tu watu wanachukulia kama haki yao. .ila wangekaa wakatafakari madhara yake. ...
Hamna sister mtumish sio kama haki yetu ila haya mambo ya kuchepuka dah hayana defined reasons kivilee...ila unajikutamo tuu! Cha msingi heshima iwepo. Swala la paka watoto wajue au umlete hom, that is too much...!
 
Ila wanaume kuna muda huelewi hata ufanyaje. Mtu ana mchepuko, anawatambulisha hadi watoto, mke asipokuwepo anamleta mchepuko kulala, na khanga ataogea za maza house. Afu wengine anapewa zawadi ampelekee mkewe eti, huo mchepuko una undugu na mkeo hadi umnunulie zawadi?... na yalivyo mazuzu yanapeleka kweli, yani wengine wanaua wake zao kwa upumbavu wao mtcheeeew
Lakini ujue pia haya uliyoyaandika hapa unageuza karatasi unaandika haya kwa mama zetu pia wana tabia hizihizi ulizoandika hapa, sema watu wanaona aibu kusema mama yangu alkua kicheche, nimewashuhudia sana wamama wengi tangu nipo mdogo,
Ni sawa na mtoto wako wa kiume akitia mimba mtoto wa watu unamsaidia kusuluhisha kesi lakini wa kike akitiwa mimba unamfukuza na home kabisa.

Aah sorry nimesahau,
Kumbe mada inahusu mshua......
 
Hamna sister mtumish sio kama haki yetu ila haya mambo ya kuchepuka dah hayana defined reasons kivilee...ila unajikutamo tuu! Cha msingi heshima iwepo. Swala la paka watoto wajue au umlete hom, that is too much...!
Kwenye kuchepuka kuna heshima?? Utafanya sirini ila madhara hayana siri
 
Lakini ujue pia haya uliyoyaandika hapa unageuza karatasi unaandika haya kwa mama zetu pia wana tabia hizihizi ulizoandika hapa, sema watu wanaona aibu kusema mama yangu alkua kicheche, nimewashuhudia sana wamama wengi tangu nipo mdogo,
Ni sawa na mtoto wako wa kiume akitia mimba mtoto wa watu unamsaidia kusuluhisha kesi lakini wa kike akitiwa mimba unamfukuza na home kabisa.

Aah sorry nimesahau,
Kumbe mada inahusu mshua......
Haha nashukuru. Hii mada ya leo inaongelea washua. Kesho anzisheni ya kina bi wakubwa.
 
Haijawahi kutokea, Ila tu kwa tahadhari wababa wenye michepuko msiingize michepuko kwenye familia zenu, hata wao wanatamani kukaa ndani wewe kina mama wenye nyumba, kama walivo wake zenu....
Rafiki angu mmoja alifariki, inasekana kuna dawa za kienyeji baba alizileta home kapewa na mchepuko ampe mwanae zitamsaidia, masikini my friend alitumia hizo dawa hali ikawa mbaya na akafariki may her soul rest in peace

Mama Mchungaji ukishukiwa huwa unamwaga madini sana, inshort ukishaanza kuhusianisha mchepuko na familia ujue mwisho mbaya unakuja.
 
Nilishawahi kumjua tukajipanga Mimi na ndugu zangu tukamsute ila mama akatukataza tusiende!!!!
 
Mi Mshua Simuingliii ktka starehe zake coz mi Mwanaume pia Nambana tu kwenye Majukumu ,,Yupo makini Mshua Nampenda sana aisee ,Michepuko wa father Namsalimia kabsa ,,Na Ndio maana Leo mimi Baba Bora ,,ila Mother Ndo Huwa Sipendi Maana Duuuu ,,Ila Mama ananiheshimu baraaaa,,Nikitinga tu utasikia Amekuja Mzee wa Haki kaaeni Sawa,,Ila Nampenda sana maana Siku ya kunizaa kidogo Afe ,,Ila nae nikiona Siwezi mind kivile,Maana Haendi na Wa lika la Mtoto wake,,anaenda na Watu Wazima Istoshe Wapo Separate ,,na yeye bado Below 50,,
Yes! Hata iweje hautakiwi kumlet down Mzee!!!
 
Yaan tatizo wadingi Wa Siku hizi hatupigi makwenzi....!
Alafu unaweza kuta sio mtoto wako halali
Tatizo Id yako mkuu,
Huo mda wa kuwapiga makonzi utaupata kweli?
Samahani lakini[emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom