Ulishawahi kuujua mchepuko wa mshua/baba yako

Ulishawahi kuujua mchepuko wa mshua/baba yako

Ila kugundua kuwa baba yako anamchepuka sehemi fulani...halafu at the same time anam-mistreat mama yako nyumbani after so many years of living together na kuvumiliana kwa yote. Kwakweli ni maumivu yasiyo elezeka...
 
sure inauma sana

Sijawahi kujua wala kuhisi na sitaki kujua mambo yake
Sijawahi sikia mother akilalamika wala kugombana na mzee kwasababu ya hiyo michepuko.
Na kama anafanya itakuwa kwa siri sana na namshukuru kwa hilo
 
Habari wakuu

Bila kupoteza mda nimekaa na kufikiria namna mapenz ya wasichana na watu wazima yanavyoshika kasi nikawaza hivi ulishawahi kuujua mchepuko wa mshua wako?

Ulipata reaction gani baada ya kujua pengine ni kijana mwenzio au ni kimeo ila tu baba ako hajui

Binafsi kipind cha nyuma bana mshua wangu aliwah kuwa na mchepuko ambae alitokea kupatana sana na mdogo wangu nafikiri sababu mdogo wangu hakumpendaga mama alieolewa baada ya mama etu kufariki

yule mchepuko ilikuwa bado nukta awe mama mwenye nyumba alivyomtekaga baba sasa siku me nakuja kumjua c kumbe kakicheche flan tu sema akiwa na mshua anavaa sura ya kondoo

nilihack chating zake moj tu na kahuni kenzie wanasifiana walivyopeana shoo za maana nikaforwad kwa mshua kidogo presha impande akamuachilia mbali, hanaga hamu na mie mpaka kesho tukikutana bahati mbaya atabadilisha njia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

dogo ulikua na wivu hadi kwa dingi?

mkeo si utafata chooni kabisa!!!
 
Vijana mnapenda ufukunyuku....! Mnatka mjue hadi baba anachepuka n nan....

Kesho mtaanza kuwafatilia wanaokuja home kwa mama,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

hawafai hata kidogo!
 
Habari wakuu

Bila kupoteza mda nimekaa na kufikiria namna mapenz ya wasichana na watu wazima yanavyoshika kasi nikawaza hivi ulishawahi kuujua mchepuko wa mshua wako?

Ulipata reaction gani baada ya kujua pengine ni kijana mwenzio au ni kimeo ila tu baba ako hajui

Binafsi kipind cha nyuma bana mshua wangu aliwah kuwa na mchepuko ambae alitokea kupatana sana na mdogo wangu nafikiri sababu mdogo wangu hakumpendaga mama alieolewa baada ya mama etu kufariki

yule mchepuko ilikuwa bado nukta awe mama mwenye nyumba alivyomtekaga baba sasa siku me nakuja kumjua c kumbe kakicheche flan tu sema akiwa na mshua anavaa sura ya kondoo

nilihack chating zake moj tu na kahuni kenzie wanasifiana walivyopeana shoo za maana nikaforwad kwa mshua kidogo presha impande akamuachilia mbali, hanaga hamu na mie mpaka kesho tukikutana bahati mbaya atabadilisha njia
baba yako alikua ananyonywa pu*** umeharibu acha ujinga ww
 
Haijawahi kutokea, Ila tu kwa tahadhari wababa wenye michepuko msiingize michepuko kwenye familia zenu, hata wao wanatamani kukaa ndani wewe kina mama wenye nyumba, kama walivo wake zenu....
Rafiki angu mmoja alifariki, inasekana kuna dawa za kienyeji baba alizileta home kapewa na mchepuko ampe mwanae zitamsaidia, masikini my friend alitumia hizo dawa hali ikawa mbaya na akafariki may her soul rest in peace
So saaad!
 
Ila wanaume kuna muda huelewi hata ufanyaje. Mtu ana mchepuko, anawatambulisha hadi watoto, mke asipokuwepo anamleta mchepuko kulala, na khanga ataogea za maza house. Afu wengine anapewa zawadi ampelekee mkewe eti, huo mchepuko una undugu na mkeo hadi umnunulie zawadi?... na yalivyo mazuzu yanapeleka kweli, yani wengine wanaua wake zao kwa upumbavu wao mtcheeeew
Wanaume ni risk taker...

Sijui wanakuwa na akili gani!!

Unamleta ndani mwananamke usiemjua wengine mapepo wanakuja na mavitu yao!

Mwisho ndoa inavunjika au maelewano yanaondoka moja kwa moja!
 
Mi Mshua Simuingliii ktka starehe zake coz mi Mwanaume pia Nambana tu kwenye Majukumu ,,Yupo makini Mshua Nampenda sana aisee ,Michepuko wa father Namsalimia kabsa ,,Na Ndio maana Leo mimi Baba Bora ,,ila Mother Ndo Huwa Sipendi Maana Duuuu ,,Ila Mama ananiheshimu baraaaa,,Nikitinga tu utasikia Amekuja Mzee wa Haki kaaeni Sawa,,Ila Nampenda sana maana Siku ya kunizaa kidogo Afe ,,Ila nae nikiona Siwezi mind kivile,Maana Haendi na Wa lika la Mtoto wake,,anaenda na Watu Wazima Istoshe Wapo Separate ,,na yeye bado Below 50,,
 
Yaan tatizo wadingi Wa Siku hizi hatupigi makwenzi....!
Alafu unaweza kuta sio mtoto wako halali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wanaume ni risk taker...

Sijui wanakuwa na akili gani!!

Unamleta ndani mwananamke usiemjua wengine mapepo wanakuja na mavitu yao!

Mwisho ndoa inavunjika au maelewano yanaondoka moja kwa moja!
Yani wangekuwa wanadhurika tu wenyewe na kuhangaika kwao[emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Niliwajuaga wawili na nikampa live mshua! Hatanisahau kwakweli! Sikumwambia mama coz ingemuuma saana.
 
Yani wangekuwa wanadhurika tu wenyewe na kuhangaika kwao[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Mara nyingi wanadhuru watoto au mke haswaaa mwanaume akiwa bado anampenda mkewe

Chepuko lingine linakupa janga ukienda kutibiwa unakuta amecover space!

Nilimpiga mdogo wangu makofi the day nimemkuta uchochoroni na kasichana!

Nilimuwashaaa vibao na kale kabinti nlikasema!!

Toka siku hyo heshma na adabu!
 
hahaha utaitwa sista mnoko. Yani haya mambo ya kuchepuka bana, sema tu watu wanachukulia kama haki yao. .ila wangekaa wakatafakari madhara yake. ...
 
Naona tunakoelekea sio pazuri, mambo gani ya kuja kusemana huku tenaa
 
Back
Top Bottom