Ulishawahi kuujua mchepuko wa mshua/baba yako

Ulishawahi kuujua mchepuko wa mshua/baba yako

Kuna mchepuko moja wa Mzee alikua karani wa mahakama ya mwanzo yaani ulikua ni sheeedahh
Siku moja Mshua alinichukua akanipeleka kwake akanambia niwe namwita anti na Mimi nikajua ni ant kweli kumbe ilikua chakula ya Mzee, mpaka Mzee anakufa alikua anatumia ile kitu mpaka sasa nikikutanaga nayo inaniomba nikaisalimie, ilikua ikinipenda sana, kamwe sikuwahi kujuta ukaribu wake na Mzee.
Qwi Qwi Qwi..... If you want to cheat, cheat right. Dingi ako angekua ana mnyanyasa maza yako nadhani story ingekua nyingine.
 
Nilishawahi kumjua tukajipanga Mimi na ndugu zangu tukamsute ila mama akatukataza tusiende!!!!
Najua utoto ndo ulikuwa unawasumbua,je jitathimini kwa sasa mmekuwa wakubwa je hamchepuki.

Mnachepuka sana tu na nyie msutwe?
 
Back
Top Bottom