Tamama
JF-Expert Member
- Mar 15, 2016
- 887
- 1,107
- Thread starter
- #101
Aisee pole sanaYah...
Cc tulimjua na maza pia alimjua,ilileta shida sana nyumbani mana maza alishindwa kuvumilia lakin dingi ndo alikua kaiva,hasikii wala nini.
Ilifika mahali akazaa na dingi maza kusikia na zile presha akafariki,chakushangaza zaidi baada ya kifo cha maza dingi akafunga nae ndoa na kumleta hom kabisa.
Familia nzima ilisambaratika wakabaki wao,yupo mpk sasa lakin moyoni hatuna upendo nae