Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Daaah
Pumzika kwa amani!!!! Sijawahi singiziwa jambo kubwa kama lile mimi jamani, umri wa miaka kumi na sita mama mtu mzima mwenye uwezo wa kunizaa... Inaniuma mpaka Kesho lakinii Mungu ndo ajua yote.
Pumzika tu mama kwa amani... Ulinifanya nione dunia chungu, kipigo nilichopata ndo hicho ulichokipata mpaka umauti ukakufika na mtu huyo huyo alonipiga mie!!!!
Pumzika kwa amani, kisa tu barua aloandika nduguyo wa kikee akimsaidia mwanao kuniandikia mimi ili tu nimkubali kwa hand writing nzuri!!!! Loooh mumewe alinipiga si kawaida!!!!, kwa kuaminishwa tuu namrubuni mwanae. Mamangu nae hakutaka kunielewa mama ukaniongezea kipigo tena!!!! Mama najua hakuwa na lengo baya mama, Nilikusamehe na Nakupenda mnooo Mamangu!!!