Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
Niliwahi singiziwa Nina mimba..siwezi sahau Aisee..niliuwa nikipita sehemu fulani watu wananishangaa nikijua ni ile kawaida tu watu kushangaana na huyo mmma mzushi akiwepo...kumbe watu walikuwa wanashangazwa nilivyo mkimya lakini Nina kibendiiii😂😂😂😂 Jamani...taarifa zikamfikia mzee nikaona hana time na Mimi kidogo tu nafokewa..baadaye nikaja gundua huyo shakumbenga ananitangazia kwa raia mimi Nina mimba...nililia ile siku walaah nilimlaani yule mmama.. hazikupita siku nyingi akawekwa ndani .. mpaka Sasa nasikia linatangatanga tu huko liliko na iwe ivyo hadi kufa kwake..mpuuzi sana

