Sikua mm, wala nisingeweza fanya ivyoDaah pole mkuu..kumbe sio wew!??

Daah hapoo kwa kumuibia mume tenaa..!! Sema usingempigaa wew ungefanya kweli sasa...kuna watu wanajua kuwashuhudia uongo wenzao hata shetan hawataki! kuna dada niligombana nae tu kisa mambo ya umbea umbea nikapiga zangu kimya bas akawa ananipiga vijembe vya waz waz,
nilivumilia sana sasa siku ya siku alijua nimeenda job kumbe nipo ndan akawa anachota maj yangu kwenye tank ,mi nikamuacha tu ajaze namchungulia tu dirishani alipokuwa anamalizia ndoo ka mbil nikatoka wacha ashtuke nikamwambia tu malizia coz toka unachota nimekuwa nakuona
alinyanyua ndoo zake akaingia ndani, bas huko ndan akawa anajipigisha simu kuzuga ili nimuogope ooh et nilikuwa namtafuta siku nyingi nimekaa na hiki kitu miez mitatu nilikuwa namsubir aingie kumi na nane zangu
mi nikaona isiwe shida ye si mshari nikaenda kumsemea kwa mwenye nyumba, tukaitwa kikao cha watu watano bas nikaongea vyangu had kulichosababisha sis kununiana, ilipofika zamu yake alinisemea uongo mwingi sana had kumwimbia hotpot zake na kubwa et nimetembea na mumewe!
jaman nilichukia saaana ukizingatia mambo yote aliyonishuhudia ni uongo nilikasirika had nwisho nilinyanyuka nikamtia misumbwi.ya maana iliyoenda shule tena ile ya hasira mbele ya kikao had wanakuja kugombelezea tayar mtu sura haifai yan had leo ni adabu na heshima ananiheshimu na tunaongea, nilimsamehe
Saivi ushashiriki?Wakati huo niko ka bikra sijawhai shiriki ngono,pengine wa kuzaliwa nao. That's why nika insist wanipime. Usiombe uzushiwe scandal hasa shule za girls utajuta
Kwani mada inuliza vipi? Usinitoe nje ya madaSaivi ushashiriki?
Okay. Samahani kama nimekosea kuuliza, ila ungenijibu tu, mbona ni kitu ya kawaida sana mamalaiKwani mada inuliza vipi? Usinitoe nje ya mada
Hujioni kama unatoka nje ya mada?Okay. Samahani kama nimekosea kuuliza, ila ungenijibu tu, mbona ni kitu ya kawaida sana mamalai
Alienda kwa mganga ndo akaambiwa sio kweliVIP boss alielewaa;!??
Daah maskini... sasa umemfinya mpaka akalia!??? Duuh visa hiviMchumba wa Rafiki yangu alikuwa ananitaka Kimapenzi nilimkatalia na ''kumtolea macho'' kwa hasira........ akaniomba yaishe na nisimueleze yeyote hatarudia tena............Ikafika wakati wanafanya Sendoff yake wakati tunatoa zawadi kwa bibi Harusi Mtarajiwa.......Nilipompa Mkono wa kumpongeza....................Eeeeeeeeeeeebwanaeeeeeeeee aliangua Kilio huku akisema Nimemfinya.........Nilitolewa Nje Mzobemzobe nilivunjiwa heshima siku ileeee sitasahau maishani.............................!!!!!!
Ni Sheckhand tu Akanisingizia nimemfinya.................!!!!!Daah maskini... sasa umemfinya mpaka akalia!??? Duuh visa hivi
Mmh. Unatabia mbaya wewe. Yaani umesahau kabisa ile njia ya kuja kwangu vibaya hivyo shoga yangu.Pole
Hakuna kitu kinaumiza kama kusemewa uongo, ingawa wengi husema ukweli unauma, kwangu uongo huniumiza zaidi.