dah! kumbe ban noma sana, hebu nipe jina la mod mmoja nimtukane niexperience ladha ya ban.
hongera sana mzee mwenzangu kumbe busara ulianza muda sanaSikuwahi kwakuwa niliheshimu na kuyapa thamani kila mahusiano
hahaaaaaa hongera saana mkuu mi mwenyewe sikuwahi kumpenda mwanafunzi na nilikuwa naogopaSikuwahi kwakuwa niliheshimu na kuyapa thamani kila mahusiano
brother hapa duniani dhambi zote tutaepuka lakini sio kudinyana.. wacha tuBrother, kumbe nawe humo hahahah
hahaaaaaa hongera saana mkuu mi mwenyewe sikuwahi kumpenda mwanafunzi na nilikuwa naogopa
Wewe subiri, hiyo ni social aspect of life ambayo ni muhimu sana.Ndio legacy Hiyo???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ulikuwa unaogopa nini? Wazazi? Walimu au mimba?
Hahaha hii kitu acha tu. Naona watoto wazuri walikugombaniabrother hapa duniani dhambi zote tutaepuka lakini sio kudinyana.. wacha tu
Ulikuwa nayo mangapi hadi ukaona sasa basi natulia na mmoja? Ulijaza coaster wewe[emoji12] [emoji12]Sikuwahi kwakuwa niliheshimu na kuyapa thamani kila mahusiano
Wagumu wa boys hatunaga hizo
IvooooooNdo nataka unimalize kabisa mambo ya kuniacha nusunusu siyo kabisa
Cessy rudisha ile avatar ya zamani bhana,ile ilikuwa kali.hahaaaaaa hongera saana mkuu mi mwenyewe sikuwahi kumpenda mwanafunzi na nilikuwa naogopa