Ulishawahi kupata stress?

Pole sana. Ungekua mpenzi wa ulanzi usingeteseka hivyo. Wenzako ndio tunakimbiliaga huko mambo yakienda mrama. Boom baada ya muda tu unajihisi uko Paris.
 
Atakaa tu sawa bwashee ,tatizo lake lisha fika mezani
 
Ukiachana na wewe mwenyewe watu wako wa karibu ndo watakao weza kukuponya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…