Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 12,978
- 27,557
Msuba=Bange
Unataka kusemaje?Mwanaume akiwa na stress utasikia
Komaaa! We mtoto wa kiumee!!
Oya kakamaa kiume! Kazaaa!
Mwanamke sasa, Oh! Pole sana. Watu wana miminika kutoa ushauri, pole na faraja.
Huu uzi ungeletwa na mwanaume, ungesikia Oya komaa! Acha kulia lia.
Mwisho wa siku mkisikia mtu kajinyonga, Mnaanza, Daah! Jamaa alikuwa mpole sana! Msela alikuwa mtaratibu sana!
Ninyi wanawake mna hurumiwa sana kwenye mambo mengi.Unataka kusemaje?
Matatizo ya kichwa. Hio kujifungia sehemu hutaki hata mwangaza ndio dalili zake hizo. Plus kutopenda kelele. Ikiwa chronic ndio inakuwa hivyo. Inatesa mnoooMigraine ni nini? Unanitisha 🥺
Sawa dear, acha nitupilie mbali maana stress zitaniua🥲Matatizo ya kichwa. Hio kujifungia sehemu hutaki hata mwangaza ndio dalili zake hizo. Plus kutopenda kelele. Ikiwa chronic ndio inakuwa hivyo. Inatesa mnooo
Lkn kwa mengine uliotaja hapo likely una shida ya sonona
Do something quickly.
Km upo na kitu kinakusababishia depression na unaweza kuachana nacho basi achana nacho...owe kazi, mahusiano...n.k
Asante rafkiangu! Nitafanya hivyo! Japo nimegundua nikiongea na mtu tu natoa machungu yote then nakaaa sawa🥲Pole sana hii hali niliwahi kuipata kipindi nipo homeless kule Denmark sio powa nikiwahi kupata sonona kali sana insomnia ni hatari sana niliponea kwa wana saikolojia tu ndugu yangu mtafute mwana saikoloji chapu pole sana
Huyo achana naye best,,atakufundisha usagaji.Fungua basi tuwe tunachonga sana juu ya members!
Well done. Vyema kujichanganya na watu sahihi na kuomba msaada pale mambo yanapozidi kwenda vibaya. Na ikitokea huna msaada wa watu wa karibu basi sali sana mlilie muumba wako akusaidie kuufanya moyo wako uwe na wepesi...Nashukuru Mungu nilishavuka huku😢
Amen 🙏🏽! Asante sana dada Angel! Mungu akubariki 😊Well done. Vyema kujichanganya na watu sahihi na kuomba msaada pale mambo yanapozidi kwenda vibaya. Na ikitokea huna msaada wa watu wa karibu basi sali sana mlilie muumba wako akusaidie kuufanya moyo wako uwe na wepesi...