Akipandacho Mtu ndicho akivunacho ni lazima kuvuna. Kama umepanda Mema basi utavuna Mema na mabaya pia. Hivyo tabia ya kufanya mapenzi kinyume na Maumbile ewe Mume kufira mtu mke au Mume uwe na hakika na wewe Ama mwanao ama mjukuu atafanya hayo kugeuzwa. Hii ni kama hakuna Toba ya kweli. Taman kuishi maisha ya Toba lakin ombea na wengine.

Penda sana Kuwa lala wa dada na ww dada Penda sana wanaume kabla na baada ya ndoa. Mambo ambayo hutopenda mwanao afanye na wewe uliyafanya. Nakukumbusha utavuna unachopanda sasa hivi hapo badae. Pasipo Toba ya kweli hakika utavuna. Mlango mda wote huwa upo wazi kwa ajir ya wanyenyekeao.

Mungu anatupenda ndo maana analeta habari njema kila iitwapo leo hata kama hatuzipendi masikio yanawasha lakini Yeye hachoki maana anawajua walio wake.

Toba itatuweka huru siku zote. Roho i radhi lakini mwili ni dhaifu. Ni muhimu Roho ikajifunza kuishi maisha ya mbinguni ikiwa duniani maana ilikuwapo mbinguni hapo kabla na shetani hataki irudi. Yeremia 1:5
Sasa mtumishi wewe kwa hizi comments za humu unafikiri watafuatilia hivyo vifungu. Usije kuwa kama yule mtumishi aliyefungua kanisa uwanja wa fisi, anawaita waumini watarajiwa wenyewe wako bize na kusaka utamu na hela.
 
Sbb alienda kwa akili zake. Mimi wala sina shida afatilie asifatilie nimemaliza nilichowiwa kusema. Si wote ni wa Mungu ila wote wameumbwa na Mungu hata ibilisi. Hapa nakumbusha Toba yaani ukitoka kujichafua basi jioshe ipo neema. Ukinya lazima uchambe. Au mtu ajaribu kutembea bila kuchamba aone inafananaje na kiroho ni hivo hawachambi hawa nawakumbusha.
 
Sbb alienda kwa akili zake. Mimi wala sina shida afatilie asifatilie nimemaliza nilichowiwa kusema. Si wote ni wa Mungu ila wote wameumbwa na Mungu hata ibilisi. Hapa nakumbusha Toba yaani ukitoka kujichafua basi jioshe ipo neema. Ukinya lazima uchambe. Au mtu ajaribu kutembea bila kuchamba na kiroho ni hivo hawachambi hawa nawakumbusha.
Ni hekima kufanya kila jambo kwa wakati na mahali sahihi. Unayapata haya mashambulizi kwa kuwa ujumbe wako hauko mahali sahihi. Ndo maana sisi watu wazima tunasoma bila kuweka mikasa yetu ya ujanani, lakini ninayoyasoma yananikumbusha niliyofanya zaidi ya miongo mitatu iliyopita. Then unajua hakuna jipya chini ya jua. Waachie hawa vijana wetu nao waongee, hayo ya biblia yana platforms zake nyingi sana hapa nchini.

Nakupa mkasa uliotokea nikiwa nasafiri na basi mmoja, aliingia muhubiri akaanza kushusha nondo zake lakini kumbe yale mahubiri yaliikwaza familia moja iliyokuwa inakwenda msibani. Kilichofuatia ni kondakta kusserender na kumshusha mtumishi. Ila kosa lake kubwa ni kutokuwa mahali sahii na kutoijua audience yake.
 
Amani Kabisaa. Hakuna magonjwa, hakuna ajari, nalikuwa kipofu sijui dhambi wala sion dhambi sasa naona, kuna uzima, naijua kesho yangu, na uhakika wa kuishi miaka timilifu na ikibid kuongezwa kama ntazid kumfurahisha Mungu kama Ali Poa Muongezea Hezekia. Ndugu zangu wanalindwa na Bwana, hakuna kulogwa, mashetani yakiniona yanatetemeka. Yote haya ni kwa sbb Yesu amenipa Neema. Hiyo Neema kiu yangu uipate na ww. Ila kwa mapenzi yake Mungu maana Mungu hachanganywi. Hivo nitokapo Ni kwema na sitoki kwa Yesu maana ni kwema
Kaa mbali na huu uzi unaweza kumrudia mzee shetani
 
Ni hekima kufanya kila jambo kwa wakati na mahali sahihi. Unayapata haya mashambulizi kwa kuwa ujumbe wako hauko mahali sahihi. Ndo maana sisi watu wazima tunasoma bila kuweka mikasa yetu ya ujanani, lakini ninayoyasoma yananikumbusha niliyofanya zaidi ya miongo mitatu iliyopita. Then unajua hakuna jipya chini ya jua. Waachie hawa vijana wetu nao waongee, hayo ya biblia yana platforms zake nyingi sana hapa nchini.

Nakupa mkasa uliotokea nikiwa nasafiri na basi mmoja, aliingia muhubiri akaanza kushusha nondo zake lakini kumbe yale mahubiri yaliikwaza familia moja iliyokuwa inakwenda msibani. Kilichofuatia ni kondakta kusserender na kumshusha mtumishi. Ila kosa lake kubwa ni kutokuwa mahali sahii na kutoijua audience yake.

Nashukuru kwa Ushauri. Wale unaona walikwazwa ila huelewi angeendelea kidogo angeharibu maagano yao walioingia na miungu yao ya kigeni. Mizimu na kila aina ya uchafu, biashara zao za kutegemea giza hivo lazima wawe wakali. Maana NURU IMEINGIA INA MULIKA GIZA Ukiona mtu mkali ujue ndani yake ipo shida. Baba yangu wakati napokea Neema ya Mungu alinambia atahakikisha ananikata panga ama nihame. Mimi sikuitaka Neema ya Mungu niliwatukana watu kama hao waliokuwa wakija kwetu kutuhubir nliona ni wapumbafu na wajinga wamekosa mda. Huku nikitumikia Rc na Mweka hazina kwenye Jumuiya.

Baba alitaka kunikata panga sbb ya kusali. Ndipo nlikumbuka maneno ya Yesu kwamba hakuja kuleta Amani bali uadui. Sasa wamezoea baada ya kusimama kuomba kwa ajir yao. Ila wanawah misa ya kwanza jumapil.

Mafanikio yoyote ni vita kali kwenye ulimwengu wa Roho mwanadamu ndio uwanja.

Mimi Nipo sehemu sahihi maana hata watu wote wanavosimlia sio takwa la Jukwaa. Sichoki sbb mtu anaweza kuni ignore tu kwan lazima kusoma. Lakini mtu akisoma kale ka kitu ambako sio ka ki Mungu ndani yake kanaripuka. Herode alijitahidi sana kuzuia mapenzi ya Mungu kwa Yesu ikiwemo kuua watoto wote. Hivo mambo ya Mungu ni ukakasi.

HAKUNA SEHEMU NIMEMWAMBIA MTU AACHE KUFANYA MAPENZI.ila nimesisitiza kutubu tu. Sijazuia mtu ndugu yangu sina mamlaka hayo mimi si unaona wana ignore ni jambo zuri tu.

MAWAZO MABAYA HUARIBU TABIA NJEMA. HEKIMA YA MWANADAMU NI UPUMBAFU MBELE ZA MUNGU NA UPUMBAFU WA MUNGU NDIZO HEKIMA ZAKE SASA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom