akilinzuri
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 388
- 418
Kisa chako kina fundisha
Hongera wake kwa Waume wengi wanazi ignore ila km mwanaume jrb kuitumia convincing power ikishindikana acha mjegejo ulale kwa amanipole sana mkuu mimi niliwahi kupatwa na mkasa kama huu masihara iliandaliwa vizuri ile nataka valisha uncle asumani sweta la wokovu demu akasema hapana yani mjegejo ulilala kama nimepigwa salala(kofi la mgongo) yule demu nilimwambia mama nenda kwenu sitaki tena
Utuletee mrejeshoLikely, nitamcheki mida nayojua amefika.
Tuendelee na masihara kwanza.
Asante kwa wazo la sandaka ya shukrani hili nimeshalifanya nanitaendelea kulifanya kipekee sana niliiona niwasaidie nisiowajua kwa kuchangua damu ktk hospital zetu1. Unapaswa kutoa sadaka ya Shukrani umeokoka.
2. Ulijiivika bomu (pasipokujua au kwa kujua) kwa muda wote uliokuwa naye pamoja na uwezekano wa kuambukizwa kwa njia ya sex, mtu mnaishi naye pamoja kwa Mazingira uliyoyaelezea, ana kuwa namna nyingi sana za kukuambukiza kwa makusudi au pasipokujua.
3. Tahadhari uliyotoa ni ya muhimu. Tuendelee kuzingatia.
Nimeharibu Uzi ila namm napenda sana kuisoma visa vya kimasihara tupe visa vyako tuendelee kuburudika ssVipi mara baada ya mdau anajiita "Unskilled " kuepuka shimo la moto
Jeeeee, tunaendelea na masihara??
Nilishaweka humu mavisa na mavisa mkuuNimeharibu Uzi ila namm napenda sana kuisoma visa vya kimasihara tupe visa vyako tuendelee kuburudika ss
ndio mkuukaribu rock cityLuchelele mzunguko naamini itakuwa mwanza
Alert mapeemaHapa wakulungwa wote waliopo humu ambao madem zao wako safarin leo lazima waongeze ulinzi,ukiona anapgiwa cm kila saa kuulizwa kafika wap bas jua mwamba ashakusoma huku ss analinda mali zake
Shukrani mkulundio mkuukaribu rock city
Miss Pablo nakusihi punguza roho mbaya kuiwekea masharti magumu sana mbunye, hakika wainyima haki ya kusosholaizi na Misonobari. Tumia Laissez Faire itakusaidiaHii kwangu haiapply. Na mpk tukutane ni moyo wangu ukukubali. Kama vioi nacancel tu moyo wangu umekukataa. Yaan hata uimbe bob marley souljer sijui mimi malaika. Tena usishangae nikakusemesha na sauti ya kibezi... Sifa za kinafki nazijua. Anayetaka uzandiki najua. Sifa hazinipotezagi. Tutaonana endapo tu moyo wangu umekuerewa kwa kwenda mbere na hiyo haimaanishi ndo utanikula hapana. Nina roho mbaya sana na mbunye yangu
DaahMwaka jana tu nilikuwa naenda mkoa flani sikuwahi kufika kule. Pembeni yangu nilikaa na mkaka akaniambia ni mwenyeji kule ninapoenda. Basi kufika njiani bus lilipata shida ikasababisha tufike tunakoenda saa4 usiku.
Yule kaka aliniambia ana familia ila akaenilekeza lodge ili nikalale pale kesho asubuh nielekee ofisi nilokuwa naenda. Akachukua no ya simu. Ila akasema apeleke mzigo kwake then atakuja pale lodge ahakikishe kama nimefika salama, nikasema poa.
Tukashuka akachukua boda fasta akasepa. Nami nikachukua boda ila ghafla nkawaza huyu kaka nikikaa vibaya atakuja kunila kimasihara. Basi nkamwambia boda nipeleke lodge nzuri nikalale. Boda akanipeleka lodge nyingine kabisa kufika niona jina sio ile alonielekeza yule kaka. Nkasema poa!!!! Nikachukua room.
Baada ya dk 20 yule kaka kapiga simu nipo nje upo room no ngapi? nkamwambia no.... ajasema poa nakuja...nikazima simu nikalala. Asubuh kuwasha simu ziliingua text kama 10 za matusi mfululizo daaah wanaume nyie basi tu.
Ulimfanyia ukatili, ujambazi,ukiritimba, yan ufisadi wa hatari sasa huyo mwamba.Mwaka jana tu nilikuwa naenda mkoa flani sikuwahi kufika kule. Pembeni yangu nilikaa na kaka akaniambia ni mwenyeji kule ninapoenda. Tukawa tunapiga story za hapa na pale tukazoeana. Njia nzima tukawa tukishuka kupata chakula analipia yeye, safari ilikuwa ndefu sana. Basi kufika njiani bus lilipata shida ikasababisha tufike tunakoenda saa4 usiku.
Yule kaka aliniambia ana familia akaenilekeza lodge ili nikalale pale kesho asubuh nielekee ofisi nilokuwa naenda. Akachukua no ya simu. Ila akasema tukifika atapeleka mzigo kwake then atakuja pale lodge ahakikishe kama nimefika salama, nikasema poa. Akanipa hela ya room.
Tukashuka akachukua boda fasta akasepa. Nami nikachukua boda ghafla nkawaza huyu kaka nikikaa vibaya atakuja kunila kimasihara. Basi nkamwambia boda nipeleke lodge nzuri nikalale. Boda akanipeleka lodge nyingine kabisa kufika nikaona jina sio lile alonielekeza yule kaka. Nkasema poa!!!! Nikachukua room.
Baada ya dk 20 yule kaka kapiga simu nipo nje upo room no ngapi? nkamwambia no.... akasema poa nakuja...nikazima simu nikalala. Asubuh kuwasha simu ziliingia text kama 10 za matusi mfululizo, sikumjubu wala!!!!!! daaah wanaume nyie basi tu.
Huenda nikapata cha kuja kuhadithia mkuuUjue Ili iweje sasa
Nimekusoma mkuu.Asante kwa wazo la sandaka ya shukrani hili nimeshalifanya nanitaendelea kulifanya kipekee sana niliiona niwasaidie nisiowajua kwa kuchangua damu ktk hospital zetu
Kuhusu kuambukiza makusudi angekua amevuka viwango vya ubinadamu na kuwa mnyama maana km mm tu sukuwahi kumwambia mtu yeyote hata ndugu zake kuwa anangoma, hapa jukwaani hakuna amjuae naamn Hilo
Hili tatizo kumbe ni kubwa kiasi hiki? Shida sijui ni nini? Inahitaji mjadala mpana.Hii ishu ya kukataliwa kondomu hata Mimi ishawahi nitokea
Nikamwambia tu avae asepe akajiliza pale anataka dudu eti nyege zimemzidi nikamwambia bila ndomu siweki kitu .
Akakubali nikamla na ndomu
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Hahahaha Nice V... Jamaaa ulimpa maumivu ya kisengee..hatosahauMwaka jana tu nilikuwa naenda mkoa flani sikuwahi kufika kule. Pembeni yangu nilikaa na kaka akaniambia ni mwenyeji kule ninapoenda. Tukawa tunapiga story za hapa na pale tukazoeana. Njia nzima tukawa tukishuka kupata chakula analipia yeye, safari ilikuwa ndefu sana. Basi kufika njiani bus lilipata shida ikasababisha tufike tunakoenda saa4 usiku.
Yule kaka aliniambia ana familia akaenilekeza lodge ili nikalale pale kesho asubuh nielekee ofisi nilokuwa naenda. Akachukua no ya simu. Ila akasema tukifika atapeleka mzigo kwake then atakuja pale lodge ahakikishe kama nimefika salama, nikasema poa. Akanipa hela ya room.
Tukashuka akachukua boda fasta akasepa. Nami nikachukua boda ghafla nkawaza huyu kaka nikikaa vibaya atakuja kunila kimasihara. Basi nkamwambia boda nipeleke lodge nzuri nikalale. Boda akanipeleka lodge nyingine kabisa kufika nikaona jina sio lile alonielekeza yule kaka. Nkasema poa!!!! Nikachukua room.
Baada ya dk 20 yule kaka kapiga simu nipo nje upo room no ngapi? nkamwambia no.... akasema poa nakuja...nikazima simu nikalala. Asubuh kuwasha simu ziliingia text kama 10 za matusi mfululizo, sikumjubu wala!!!!!! daaah wanaume nyie basi tu.
Wewe nitapeli ⅞ mwizi jangiliMwaka jana tu nilikuwa naenda mkoa flani sikuwahi kufika kule. Pembeni yangu nilikaa na kaka akaniambia ni mwenyeji kule ninapoenda. Tukawa tunapiga story za hapa na pale tukazoeana. Njia nzima tukawa tukishuka kupata chakula analipia yeye, safari ilikuwa ndefu sana. Basi kufika njiani bus lilipata shida ikasababisha tufike tunakoenda saa4 usiku.