Ikombabhuki
Member
- Jan 17, 2021
- 97
- 239
Dah, akaenda na mautamu yake!!Noma sana mkuu kuna demu mmoja nilikuwa niperform nae masihara haya haya
Basi nikamuweka qibla kabisa na siku ya mgegedo ikafika nikamwibukia gheto kwake akakataa kata kata hata niingie ndani kwake
Baada ya miezi kadhaa yule demu akafa bwana na alikuwa nalo yani nililia kwa uchungu sana nikachinja na mbuzi