Lovery
JF-Expert Member
- Aug 15, 2014
- 1,502
- 3,011
Wewe bado mtoto tulia kijana, kwa taarifa yako balimi ilikuwepo kabla ya 2010Balimi zimeanza kuzalishwa lini jamani??maana mimi kwa uelewa wangu nimeanza kuziona sokoni miaka ya kuanzia 2011 kija juu
Sent using Jamii Forums mobile app