Duh, mzee! Hukubakiza hata gunia mbili za mpunga na mimi niende kununua? Au mimi sitapewa ulinzi [emoji38][emoji38]
 
Kumbe hamjala kimasihara Sasa maneno mengi ya Nini?! Uzi ni kwa ajili ya waliowahi Kula tunda masihara...Sasa nyie mnaanza kueleza mlioacha kula tunda kimasihara....Kama ni mtihani mmeshafeli
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kuna jambo limenijia akilini baada ya kusoma visanga vingi sana humu, hizi ishu za masihala na namna matukio yanavyotokea na watu kupata hiyo golden chance, nimewaza nikaona hili kundi la bodaboda ndiyo watakua wanafaidi sana huu mchezo wa kimasihala,
 
Mzee huwa unasimulia unachekeshaga sana, Part 1 imekaa vyema, sasa nasubiria part 2 ya Nina usicheleweshe mzigo sasa
Shukran sana. Sema nini inanichukua muda sana kuandika maana Aaf nipogo bize kiasi flani na nikiingia ili niandike nakuta hakuna zingine tangu nlivyopost yangu jana yake kwahiyo navunjika Moyo. Anyway, nikitulia ntawashushia ya Shamsa Ford.
 
Kumbe hamjala kimasihara Sasa maneno mengi ya Nini?! Uzi ni kwa ajili ya waliowahi Kula tunda masihara...Sasa nyie mnaanza kueleza mlioacha kula tunda kimasihara....Kama ni mtihani mmeshafeli
Wewe yako iko wapi iliyofeli?
 
Damn!
What a storu teller..
 
Thats how sometimes we gentlemen behave like.
Muda mwingine tunaacha bora liende ili kuepuka baadhi ya matatizo.
 
Ahsante kwa burdan japo ni
 
Umetisha sanaaa mkuu hii taasisi hapana shaka ni IFAKARA HEALTH INSTITUTE (IHI)
 
Yesu ni bwana,toa hata sadaka ya shukrani kanisani nadhani Mungu alimtumia mdogo wako kukunusuru,kweli Mungu yupo usiku badala ya kunywa ulitakiwa ufanye maombi ya tobaa
 
ulizingua mwamba
 
Nyie ambao bado mnalalamikia sijui uzi kuunganishwa, sijui Likiboy kany'ang'anywa naomba tu niwaambie mnaboa. Leteni mastory. Kwa sasa tushukuru tu kijiwe chetu kimerudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…