Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Mbali na kwamba sina hizi dhambi kihivyo kwakweli mbona kama hizi dhambi zako nimezipenda sana

Mbona dhambi zako ni nzuri sana jamani. Na zinanukia heh.... ila una ujasiri balaaaa. Khaaa... me wishing u all the bests aiseee.

Kumbe kuna level za dhambi? Walokole wenzangu munasemaje juu ya hili
daaaaah
 
Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasiraa, jamaa ake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga.

Mimi niliona status demu flani ninaemkubali kaandika i need somebody to talk to aisee nikampigia video call kumbe alikuwa analiaa nkamwambia upo wapi?? Akasema yupo hostel anaugulia maumivu bwana ake kamla rafika ake na ana ushahidi aisee nkamwambia pole sana.

Vipi tutoke bhasi ukapoteze mawazo kidogo? Akasema twende tu me nshachoka kuumizwa. Aisee ile siku sikuamini nilihisi ni ndoto japo baada ya tukio akaniblock kisa nilimpost demu wangu. Na yeye akampost jamaa eti ili anikomoe nkasema wanawake bhana.

Je, vipi ushawahi kula tamu kiutani utani tu? Mlidumu kama wapenzi baada ya kumla?

===========
TAKE NOTE:
===========

Moderator: Hii thread imerejeshwa na owner wa mjadala amekuwa rikiboy kama ilivyoombwa na wadau. Mnaombwa kuzingatia lugha katika uwasilishaji wa maoni
heheheeh
 
imagine mtu anaelezea dhambi zake na unajisikia vizuri kama ninj wala huoni tatizo. We hujazipenda shoo? Nzuri hizooo...
Naona kama ndo kachukua kombe hivi... ujue nadra sana kukumbana na maplay girls eh? Kama niapply hivi mambo yake
 
aaah wapi. Siwezagi kuwa na ids 2. Na hata ingewezana ningetumia kbs jina langu official. Mimi ni good story teller ila hapana sina hayo matukio ya kihalifu kihivyo kwakweli. Nilivyo na kauoga kangu? Hataaa.
Lazma lipo , kama halipo basi lipo njiani
 
imagine mtu anaelezea dhambi zake na unajisikia vizuri kama ninj wala huoni tatizo. We hujazipenda shoo? Nzuri hizooo...
Naona kama ndo kachukua kombe hivi... ujue nadra sana kukumbana na maplay girls eh? Kama niapply hivi mambo yake
Huyo alitisha San ni legendary kwa kweli, hebu appy na ukitoa convey nitag.
 
Back
Top Bottom