Kabla ya kwenda ulinunua condom dukani ila kufika huko hata hukuzitumia.

Hatari sana hii kitu
 
Dakika 5 sasa yeye akifaidi kweli
 
Halafu story nyingi za wavinza humu huwa mnaanza kwa kushika mkono sijui mara unajaribisha kushika tako, mara kiuno huku ukiangalia respond ya bidada, unahama kidogo kidogo unajikuta imo ndani....
 
uzi umerud tena, dah raha sana ...stress zitaishia apa...
 
Ulipewa na mtoto wa kike akulinde safi, sema ingekua mimi ningeogopa ile kuwa mlinzi kwa wachawi ningemuuliza maswali kinoma
 
Fisi umekula mzigo kwa kuagizwa pen tu, una nyota wewe, wengine tunaagizwa simu, chakula, perfume, viatu, hand bag na nguo halafu ukifika unapewa kimoja tu unakojoa kimoja siku imeisha hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chips nyama choma, na pen
 
mazngira ya pale hayakua poa mkuu hata kukubali kupiga show mule ilikua ni roho mbaya zangu tuu, ukiingia tuu unaona hapajakaa poa
 
Daah alimanusra nile tunda kimasihara
Nakumbuka nilikua namlekebishia Maza Antenna Asa nyumba ya jirani iliyokua ikitizamana Nyumba ambayo Maza alipanga kuna anti alikuwa ananichungulia kupitia Dirisha Lake, sijui uvumilivu ulimshinda akabidi aje aniite nikafungie Fann lake Asa nikajiuliza Me nafeni Wapi na wapi

Ikabidi niende tuu hapo ilikua baada ya kufunga antena ya Maza,nimefika mle ndani akanionyesha fan lenyewe

Kumbe ni la juu(panga boy) basi cjatahamaki nashangaa amebaki na kanga moko

Me nikaendelea kulifungua lile deni ghafla nilivyolishusha nakuanza kulikagua pale kitandani kwake naye akapanda chaajabu akausogeza uso kwangu kabisa nami nikajifanya macho yako Bize kwenye fani
Amini usiamini yule dada alionionyesha kila dalili ya kutaka nimkanyage lakini mtu mzima hata hisia sikua nazo

Mwishowe ikabidi aniambie kama imeshindikana liache nitalipeka kwa fundi, kisha akaniamuru nitoke

Tangia hapo yule dada tukionana naye anasikitika sana cjui kwanini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…