Kwenye ile ya kichaa aliua zaidi, yule jamaa ni nyokoooooh lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nilikuwa sehemu nimekaa wikend moja sasa nikajisemea tu kwene simu jamaangu mwongo mwongo nimemsev mikito mikito simu ilivyoita nikapokea nikasema mambo vipi mikito mikito jamaa pembeni alicheka npaka machozi , kwan yupo wapi mikito mikito daaah
 
Lazima dadako nimwambie
 
Hii nyuzi umerudi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nilikuwa sehemu nimekaa wikend moja sasa nikajisemea tu kwene simu jamaangu mwongo mwongo nimemsev mikito mikito simu ilivyoita nikapokea nikasema mambo vipi mikito mikito jamaa pembeni alicheka npaka machozi , kwan yupo wapi mikito mikito daaah
Mikito mikito mzee wa chai.
 
Mchafu wewe
 
Ndo mana hata wageni W kiume nyumbani Huwa sipendi
 
Twende kazi bibie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…