Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Hii inaonyesha shetani yuko kazini kila mahali, si safarini, si nyumbani, si kazini, si mashuleni, si kwa wake za watu, wanaume za watu. Shetani anafanya kazi yake. Ole kwa kizazi hiki. Only the Son of God called Jesus Christ who is able to save us from the lust of the flesh otherwise all will perish in the hell of fire by accepting Devil to use our body to accomplish his mission of destroying human being. Unapofanya uasherati au uzinzi basi unaunganika na shetani moja kwa moja na anaweza kukutumia anavyoweza hata kukuua kabla ya siku zako na kukuletea magonjwa mabaya. Jitahidini kuepukana na uzinzi kwa kumrudia Mungu naye atakuponya. Jitahidini pia kukaa kwenye mazingira ambayo hayana vishawish vya mwili. acha kuangalia movie za ngono na pornography. Mungu awasaidie vijana wetu maana shetani amecreate environments ambazo inakuwa ngumu kushinda kwa vijana wa siku hizi.
Blessed Ujumbe mwema sana
 
Mkuu nimejaribu ku-study visa ulivyo wahi kukumbana navyo ukiwa umekaa karibu na akina Dada, nikijaribu kueleza kisayansi ni kwamba: Sisi wanaume tuna kawaida ya ku-secrete/toa hormones aina ya Pheromones kwenye vikwapa vyetu na mwilini, hormones hizi hazina harufu yoyote lakini zina uwezo mkubwa wa kuhamusha hisia kali kwa akina mama, si rahisi wao kujua ni kitu gani kinamsukuma atake kufanya mambo ya ngono nawe - atafanya lolote body language-wise kukuhamasisha, kumbuka wakina dada wana mbinu nyingi sana - hii si adithi ya kutunga imekuwa proven kisayansi.

Inavyo elekea kuna wanaume wenye Pheromones kali sana kupita wenzao, wanaume wa aina hiyo ni rahisi kujikuta wanafanya mambo ya ngono na akina Dada wenye Chemistry inayo shabiana na ya kwako bila kujijua. Mimi binafsi nimewahi kuambiwa na baadhi ya akina mama wengi tu kwa nyakati tofauti kwamba, nikiwakaribia na kuwapa mkono kuwasalimia huwa wanajisihisi kusisimuka!! Hii haitokei kwa wanawake waswahili wenzangu tu bali hata Wazungu na Wachina waliwahi kuniambia hivyo!! Hapa nawambieni ukweli wa Mungu sitanii - sasa nikawa najiuliza maswali mengi: Mimi sio mganga wa kienyeji, mtume wala nabii!! Sasa ili suala la kusisimua wanawake kwa kuwashika mikono tukisalimiana linatokana na kitu gani hasa? Mtu aliye kuja kunipa kujibu kuhusu conundrum yangu alikuwa ni mwanafunzi mwenzangu wa kizungu - dada huyo ndiye alinieleza kuhusu maajabu ya hormone aina ya Pheromones.

Tukija kwa msichana aliye kumwagia chai, hiyo haikuwa bahati mbaya alikusudia baada ya kujaribu mbinu nyingi kwa muda mrefu mnapo baki peke yenu nyumbani lakini akaona ulikuwa hushtuki, mlipo baki peke yenu kwa mara nyingine tena akaona hiyo ni golden chance ya kutimiza dhamila zake: Kisa mwili wako unatoa Pheromones kali sasa afanyeje.
Kumbe ndio maana kuna dini inakataza japo kusalimiana kwa mikono kwa mwanamke na mwanaume ambao wanaruhusiwa kuwowana,waliona mbali ase
 
Hizo zipo nyingi sana ila wengi husahau condom,jaribuni kuwa wabunifu ukiwa na safari popote pale pack na condom kabisa usisahau,ilishanitokea kwenye harusi nikiwa msaidizi wa bwana harusi nikajimegea msimamizi wa bi harusi na unexpected mimba ikatunga ikabidi tukubaliane na khali halisi namtunza mtoto na maisha yanasonga.
Mie kunasiku nilishindwa kutoa condom niliyoweka chini ya mto, sembuse kwenye begi! Thanks God nilipima niko vizuri!
 
Nakubaliana nawe [emoji817]. Mara nyingi mwanamke anakuaubiri ktk njia. Kama mwanamke hataki halifanyiki
Mtoto wa dada anaingia chumbani anakukuta uchi halafu bado anaendelea kuwepo na kukuchekea halafu bado unataka tuamini alikuwa anakuheshimu sana. Ngoja nikwambie kitu hicho kitoto huenda wewe ulikuwa unakiheshimu sana ila chenyewe kilikuwa na akili yake kitambo na kilikuwa kinakutamani muda tu na inawezekana hiyo chai kwenye zipu wala haikuwa bahati mbaya. Huu mfano wako unazidi kuonesha ni kwa namna gani mara nyingi wanawake ndio huwa wanaendesha hii game.
 
Unaendana na wajina wako mandingo. Maana nae anawafukua balaa
Naanzia shule ya msingi nilimgegeda kiranja wangu tuka dakwa!Sec o level nilisoma chimbo uko iringa nilikua napenda disco nika gegedua wengi tu.then kipindi cha kufunga skuli niliwai mramba dem moja guest tuliyo panga wote wakati wa kusubiria treni. Huko A level na chuo yaan ni wengi mpaka sasa kitaa.
 
Hawa wa safarin wanasave pesa ya chumba. Hawa n Malaya tu
Mkuu ilo ndio tatizo letu watanzania wengi,mfano ikitokea mtu kama ni malaya anajiuza mtataka kupinda pinda maneno wee ili asiitwe malaya, Hivi mtu na akili zake hata hamna mahusiano naye kimapenzi aanze tu kukuvulia nguo Mkuu?? Duh hii kali sasa...nilichokisema ni hiki uyo mtu hajitambui vizuri na wala hapa sijapinga kua hawezi kufanya ivyo, Kulithibitisha ili kua la kustaajabisha hata wewe mwenyewe umeshangazwa na kitu hiko na ndio maana ktk thread yako Umetaka kujua wangapi imewahi kuwatokea, Katika hali ya kawaida kibadamu tumezoea kuona kuku, bata, mbuzi wakikutana na kufanya mapenzi na kila mmoja kupotea zake maana wao wanyama hawanaga mahusiano,ila kwa binadamu imezoeleka ni Malaya TU ulala na mtu asiyekua na uhusiano nae kwa kusudi kupata pesa
Note : Sijasema kua iko kitu hakijafanyika ama hakiwezi fanyika
 
Hiyo ya kwanza nishaifanya sawa na ww,na nyingine ni kutongoza kisha kugegedana na baada ya hapo nawapotezea mazima,sitaki commitment! Unexpevted sex ni tamu sana ila so risk
Hapo kwenye SO RISKY pigia mstari kabisa! Hakuna mwenye kujua background wala hali ya afya ya mwenzie......
 
Nikiwa form two nilienda gheto kwa boyfriend wangu,sikumkuta nikamkuta rafiki yake.Mvua kubwa ikaanza sijui hata ilivyokuwa nilijikuta nshatiwa.Hatukuonana tena hadi mwaka jana bada ya miaka 24,kaja chuo ni mwanafuzi wangu.
Mnh..shoga!!!. Mnaangalianaje darasani? Hajakukumbuka?
 
Mkuu ukimwi watu wanapima kila kukicha na cyo tishio sana kwa watanzania kama ilivyo AJALI,MALARIA NA MENGINEYO.
Siku ukiupata nakuahidi hutasema tena kwamba sio tishio. Unasema hivyo kwa kuwa unausikia/unauona kwa wengine tu!
 
Back
Top Bottom