PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,178
duh!!!Nikiwa form two nilienda gheto kwa boyfriend wangu,sikumkuta nikamkuta rafiki yake.Mvua kubwa ikaanza sijui hata ilivyokuwa nilijikuta nshatiwa.Hatukuonana tena hadi mwaka jana bada ya miaka 24,kaja chuo ni mwanafuzi wangu.

