leta uzi wa mama muuza mgando au kama tayari nitagg
 
KULA KIMASIHARA KUMETAKA KUNITOA ROHO LEO...

Juzi nipo kwenye mishemishe zangu nikakutana na binti mmoja na kwa lafudhi yake nikagundua ni mtu wa Tanga,nikaomba namba nikapewa na kazi ya kuanza kutaka kula kimasihara ikaanza..Nilitaka nimgegede bila ya kumwambia neno nakupenda au kuomba game direct,so nilimpigia simu usiku na kumpigisha sana stori nikaomba jumapili(ambayo ndo leo) tuonane na yeye bila hiyana akakubali.

Amefika leo mida ya saa kumi na moja tunapigishana stori hadi kigiza kikaingia na nikaacha kuwasha taa,confidence ya kuanza kum-touch ikaja na kweli nikaanza taratibu ila akawa mkali,nikawa na stop na kuanza tena..nikawa naona kama huyu ni nataka sitaki..so nikalazimisha akatulia na nikaona kama anarespond so nikaendelea na kazi,nikajaribu kupima oil ili pia nijue grade ya papuchi,hapa ndo msala ukaanza

Mtoto akaanza kubana miguu uku akijizungusha na kunizuia nisifanye lolote..akawa kama anapiga kwikwi,nikawa naanza kuogopa,,mara anafumba macho na kujilaza kwenye sofa na nikimsemesha haongei ila mapigo ya moyo yanadunda..Wazee jasho limenitoka,nikasema hapa nishaua tayari..na akawa kama anaongea ila sauti haitoki..Aisee hamna siku nimeogopa kama hii

Aliendelea hivyo karibia dakika 45 ndo akaanza kufumbua macho lakini akawa analalamika mifupa inamuuma..nikasema hapa nimrudishe tu kwao..lakini hata kunyanyuka hawezi,nikawa najiuliza huyu ana-act au ni kweli,,aisee pressure niliyokuwa nayo sio ya nchi hii

Baadae aliweza kunyanyuka,nikafanya harakati za kumrudisha kwao

Wazee hii inaweza kuwa ni nini au alikuwa ana-act?..
 
uoga umekuponza watoto wa hivyo huwa ni watamu sana...unawashaje gari usilomudu kuliendesha...?
 
Tokaaa hapa umeuzaa mechii.... Mzeee
 
Kula kwa masihara uku nako kunaponza vijana tupunguze slope
 
Covid organic, nimejaribu kufanya proof reading Hapa nimegundua kunawalakini ama ni uandishi mbovu ndugu katibu wa kamati ya harusi ulivotembea na mchumba wa rafiki yako afu baadae wakajakuoana, Sasa je ulikua katibu wakamati ipi ya harusi? Tuvae barakoa jamani humu kunavumbi sana
 
Muache tu mkuu, k zipo tu...usiuendekeze mwili.
 
Mzee umekutana na mjanja[emoji23]
 
Mkuu nilishamuacha, nasubiri amalize nimtafune.. i don't care hata kama kuna wajuba wanakula na chumvi right now ila akishapiga pepa tu lazima niue sahizi sitaki stress
Mungu akubariki kama bado kadogo, ila endelea kula kimasihara mkuu...maisha ndio haya haya
 
Kwa jinsi walipofikia dadazetu lolote linawezekana. Kuna vibinti vijanjavijanja vinaishi kwa staili hiyo wenyew wanasema kudanga ni full maigizo vinachukua hela ya Juma kesho kwa Ali ndo maisha yao.

Kuna jamaa yangu alikutana na mmoja huyo walikuwa wanaongea fresh tu hadi ulipofika muda wa kula tunda dem kajifanya ana mausingiz ya hatari hlf amelegea utafikiri anakufa sasaivi dizain km huyo.

Ila pia kuna wengine nmewahi kusikia wanakuwa na mabwana zao mashetani. Wanawafanyia hivo ili wasilale na wanaume wengine. Hii ipo sana mikoa ya mwambao.
 
Kastory katamu sanaa
 

Daaaah mzee nimechekaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahahahha ww si ndio unajipigiaga promo humu mpaka tumejua tabia yako kuwa mpole,ss hivi naona unaitwa baby kwa fujo humu jukwaani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nachekaaaaah tyuuuh hadi baas, kumbe na weee unataka kuitwa babeeeeh, sasa si ujipige promo kivyako, usitumie mie, kaa kwa kutulia tyuuh hakuna mamnaah. Km nakuona unavoteseka poleeeeeeh[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…