sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,152
Hahahahaha khaaa haya ndio masikharaaa halisi sasa dah
Cc @eli79
Cc @eli79
Miaka kama kumi iliyopita nilitembelea wilaya moja mkoani Mwanza, nilikuwa nikitoka mkoa fulani kuelekea huko kwenye hiyo Halimashauri, Sababu nilikuwa na shida ya kuonana na DED wa wilaya hiyo.
Siku iliyofuata baada ya kulala jijini Mwanza ilinibidi niliondoka asubuhi mapema ili kuwahi kufika huko wilayani, bahati mbaya nilichelewa nikafika mida ya saa nne hivi na kukuta kulikuwa na kikao ambacho sikufahamu kitamaliza muda gani.
Jirani na ofisi za halimashauri kulikuwa na stationary moja, Baada ya kuona ninmekaa kwa muda mrefu bila kumuona DED kutokana na kikao nilikiwa na kibegi changu kidogo.
Ndipo nilipoamua kwenda pale stationary kwa lengo la kuomba nikiache hapo kwa muda ili badae nikichukue, pale stationary nilikuta na dada mmoja wa kawaida tu nikamsalimia nikamuomba niache hapo kamzigo kangu akanikubalia. Nikarudi zangu kuendelea kumsubir mheshimiwa mida kama ya saa kumi kasoro kikao chao kikawa kimekwisha. nifanikiwa kuongea nae tukamalizana.
NIkarudi pale stationary na kuchukua begi langu kwa ajil ya safari ya kurejea jijin mwanza ili nilale hapo then asubuhi nilirud nilkotoka. Baada ya kufika stand ya pale wilayani nikuta gari limebaki moja tula kwenda town ila kulikuwa na abiria kama wawili tu jaama konda kaniambia gari litaondoka baada ya nusu saa ndipo nikaamua kujisogeza kwenye mgahawa mmoja jiran na hapo stand ili nipate chochote kama baadaya dk15 kurud nakuta gari lilishaondoka. Nikawauliza bodaboda wakaniambia kuna watu walikuwa msibani sasa wakuja kwa pamoja gar likajaa likaondoka ila ni kama dk5 zilizopita. Yule boda kaniambia ngoja tulifukizie tutalipata but hakufanikiwa nikamwambia nirudishe na safari ikakomea hapo boda aniulza bro nikupele wapi ndo nikakumbukapale stationary then ntajua pa kulala
KULA KIMASIHARA
Nimerudi stationary nikamkuta yule dada aniuliza kaka vipi si umeshafika mwanza ndo kumueleza gari liliniacha hivyo yeye kama mwenyeji wa pale anisaidie kunitafutia lodge nzuri ya kulala, anikubalia ila baada ya kufunga. Basi tukanza story za hapa na pale nikawa namsifia kuwa yeye ni mrembo japo alikuwa siyo mzuri. Nikamuliza unaishi na nani kaniambia anaishi na dada yake nikajibu poa, sasa kuna muda akawa naogea na sdada yake mara kaishiwa kifurushi nikamwambia tumia simu yangu hapo tayari tulishakuwa karibu.
Baadae nikamtania nataka niongee na dada yako nimsalimie kasema dada yake ni mkali sana na huwa hapendi yeye awe na marafiki wa kiume. nikasema wewe niruhusu nisalimie kajibu ukifokewa usinilaumu basi nikampandia hewani mdogo mtu anaogopa balaa, nikamsalimia nikambia kiutani bila yeye kujua mimi shemeji yako nimesafir kutoka mkoa fulani ili nije unifahamu ila huyu mwenzangu anaogopa kukuambia. mara ooh shemu pole na safari na kwa kuwa muwazi mwambie afungeh apo mje nyumbani huku demu kaogopa balaa yaani wewe kaka sasa umemwambia nn dada, mara paap dada mtu kapiga simu kwa mdogo mtu mlete mgeni nyumbani.
Sababu huyu demu alikuwa anamuogopa dada yake ikabidi anipeleke huku kimoyomoyo najisemea liwalo naliwe tumefika kwa dada yake nimekaribishwa vizur na msosi nimeandaliwa mzuri nimegongo menu then nikampiga fix dada mtu mie asubuhi nasafiri ila tutaendelea kuwasiliana, pia nimefikia lodge X mara nasikia mpeleke mwenzio akalale kachoka na safari ila nilichofurahi zaidi then wewe uwahi asubuhi stationary usijisahau. wadau nilipiga mzigo usiku kucha isitoshe na yule demu alikuwa na genye za kutosha.
NB: masihara yaendelee kudumu, pia kuanzia hapo ndo nilijua kuna uzuri na utamu mtoto sura ya kawaida ila mtamu balaaa anajua kuifinyia ndani. yaani nilikula bila kutogoza just kumfanyia masihara dada mtu nami kutunukiwa tunda na mdogo mtu