Hizi mambo za kuwa mnaelezea kila kitu kuhusu watu yaani kuanzia wasifa mpaka shughuli wanazo zifanya mtakuja vunja ndoa za watu kwa kutaka kujimwambafai hapa.jukwaani.kama hauna cha kusimulia kuwa msomaji TU. ukifurahia zaidi gonga like pita hivi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapa kuna kuliwaa mke live
 
Asante kwa story nziri. I hope codi zimezingatiwa
 
Dadeki mieeeh nakereka yaan kweli msomi wa hapa UD analiwa kisa chips? Is it? Sasa weekend hapo mbele ya magu hostels gari za kifahari znavochukua vident, nabaki kuduwaa tyuuuh.
Bby uko UDSM
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huyu ni mke wangu
 
Mkuu, lete story hiyo ya kumla mtoto wa mama mwenye Nyumba
 
Duuu.. nadhani jamaa atakuwa aliamua kuacha nazo.. inawezekana alikutafuta kipindi hiko ili akutoe upepo akapotezea
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hakyanani!
 
Hahahhahahaha daaah nimecheka kwa sauti aisee eti amepauka kama kopo la mkojo !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…