Pole.
 
Hapo uliliwa kimasihara
 
Daah, inaelekea Dingi yako alikua mkali kinyama
 
Sasa mzee ulitaka wapende matatizo ama, hehehe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] goli 15 kwa usiku mmoja tuendelee kufuata ushauri wa wizara ya afya kunawa mikono tu
 
Huu uandishi wako ndo sababu ya ww kuandamwa maana wanawake wenyewe tu hawaandiki hivi ndo maana sisi wa kiume tukiona hv tunajua wali wa Nazi huu japo wengi Hawasemi na nakumbuka siku za nyuma hta kuna ke alikutilia mashaka
Uwiiiiiiiiiiih weee nae lol by the way ulivyowaza sivyo na uhalisia, na haniandami kadri ya fikra na mtazamo wako, mmmmmh relaaaaaaaaaaaaaaax
 
M Daaah nmecheka sana ulvobeba koti badala ya surual hahahah
 
Mwnyw nmeona hapo text ya kulipapasa iltakiwa aanze yy kabla ya hyo mwanamke kujb kulipapasa tu
 
Uliliwa kimasihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…