Verifier
JF-Expert Member
- Aug 14, 2019
- 457
- 1,541
Hahahaaa ndugu yangu naona una nyota ya kupata wanaodungwa na wengine...Utani tu!Yule mtoto bhana tuliendelea na raha zetu mpaka nikawa natamani kumchumbia pia japo kidonda cha moyo kilikuwa hakijapona. Baada ya muda niligundua ana dalili za ujauzito na nikifurahia sana. Nikamshauri tukapime tujue akakubali,majibu yalitoka kuwa ana ujauzito wa miezi mitatu wakati mie ndo Kwanza nakaribia kutimiza mwezi wa pili tangu kuwa nae. Ikabidi aseme tu kuwa alikuwa na jamaa ambaye aliamua kumuacha baada ya kuona u-serious wangu kwenye mapenzi,so ikabidi tu ampelekee tumbo lake jamaa. Wameoana tayari![]()

