Sio kila mtu anapenda hayo mambo wakati mwingine inabidi tuelewe maisha ya duniani ni mfupi sana kuna mda mwingine unahitaji kufurahi kucheka hata kama kitu sio cha kweli au ni kweli lakini chumvi nyingi sisi wengine tupo kwa ajili ya furaha tunaenjoy kwa kweli hata kwenye jambo serious tunaweka utani..tulizishe mioyo yetu kwa kufurahi asanteni
 
Kweli kabisa mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupumzishe basi mzee mbona ivyo gahawa nyingi mno
 

Chai haina sukari.
 
Hii chai,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna uongo wa kitoto, ni ngum kumdanganya mtu mwenye akili coz anatumia lugha ya picha, na kama kitu akiwezekani hii chai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawa mikito mikito
 
Chai ya watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naaaam mkuuu mikito mikito.

Yani kila nikiona comment yako naona kama chai tuu kumbe umeandika inshu sirias
komesha korona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…