Duh watu wana mikasa....Anyway chuo kimoja arusha ngaramtoni kuna mdada alikua ni famasia alikua na pharmacy yake , siku hio natoka zangu maclass nikawa nasikia kama kichwa kinauma nikasema ngoja niende pharmacy nichukue dawa, kulikua na pharmacy fulani nzuri maeneo ya chuo, nikasema ngoja niingie hio hio, naingia tu nakutananna na mdada mrembo sana, na koti lake leupe na tight jeans iliyomkaa vyema, sio mrefu wala mfupi, inshort alikua mzuri, kipotabo kiasi, kanikaribisha , namuambia "nahitaji paracetamol unazo? "
Akaniambia anazo, akawa ananiuliza maswali na kunipa Pole nyingi, katika maongez akaniambia yeye anaishi maeneo hayo hayo, nikamwambia kiutani "ntakuja basi Kula chakula cha usiku kwako", mana sina wa kunipikia na I don't feel okey, akanijibu haina shida ntafurahi ukija..
akaniachia namba ya simu nami nkampa zangu, usiku akapanda hewani akawa ananisubiria mahali ili nimkute hapo twende kwake, hatimaye nikamkuta hapo then tukaelekea kwake , nikakuta nimeandaliwa mapochopocho kibao, nikala weee..tukawa sasa tunapiga stories.. mwisho wa siku we found ourselves on the bed, we *****ed sana sana sana, miguno aliyokua anatoa uwiiiiiii....najiuliza hadi Leo zile nguvu za ziada zilitokea wapi, mana it was all night ..kama kupumzika tulipumzika mara chache sana.....after that kumbe in few days anasafiri, aiseee nilidata, tukawa tunawasiliana but suddenly mawasiliano yalikatika, nilimtafuta hadi Leo sijui nini kilimpata Tina wangu....it was one night but it was a sex I never had ..one of a kind..[emoji7][emoji7][emoji7][emoji39][emoji39][emoji8][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Jamani Tina uko wapi wewe nakutafuta sana ...[emoji25][emoji25]
One of the best best story. Hongera.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongera kiongozi!
Kuna mjinga atakuja kuuliza inakuwaje binti wa miaka 22 anafanya kazi hotelini! [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tuendelee kuzichakata kimasihara.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nawe pia ila ka avatar kako huwa nikikaona nakukumbuka sana kwa ile story yako ya kumla jamabazi wa kike na ile ya jiniAMANI YA BWANA IWE NANYI WAKUU
labda kajiunga kivingize hawezi kuwa mzembe kiivyo sasa
[emoji3][emoji3] kwann unajipa tabu?Kwa elimu yetu kibongo bongo bado nashangaa uyo nesi mwenye miaka 19.. Kwa nijuavyo nesi ( nurse) ngazi ya bachelor miaka 4 + na mwaka wa internship... Diploma miaka 3 na certificate miaka 2..
Sasa nesi uliyemla ww umesema ana miaka 19.. Ok tufanye uyu nesi ana diploma ya nursing . na alivyomaliza FORM-4 hakwenda chuo kikuu.. Alijiunga college akachukua diploma yake for 3 years. Apo tuache muda aliokaa kusubil kazi.. Kama alisoma diploma maana yake miaka yake.. 19-3= 16 kwaio form 4 alimaliza.. Na miaka 16.. Mmmmmh??
Mim lengo langu nijue uyu nesi kazin alikua na miaka 19 je alimaliza form 4 akiwa na miaka mingap??
Bas tufanye uyu nesi level yake ya elimu ni degree ya nursing.. Ok form 5 & 6 miaka 2 jumlisha na 4..ya chuo pamoja wa internship = miaka 6 apo tufanye alivyotoka internship tu akaajiliwa..!! Na tufanye pia Jkt hajaenda.. Kwaio miaka yake ( 19-6) sawa sawa na 13.. Kwaio kama elimu yake.. Ya nursing ni level ya degree.. Bas alimaliza form 4 akiwa na miaka 13.. Na alianza chuo kikuu akiwa na miaka 15 ( ukichukua 13 na ile miaka miwil ya advance)
Bado nachelewa story yako kuiita Chai huenda upo sahihi ila kwnye umri wa nesi umetudanganya.. Au vice versa.. Na huenda pia wapo wanaoanza shule mapema kiasi icho labda mm tu ushamba wangu..
Bado nesi wa miaka 19 kazin ananivurugia hii story sana....
Nawasilisha... By caglar soyuncu
Sent using Jamii Forums mobile app
😀hapo tulipigwa maziwa freshKwa elimu yetu kibongo bongo bado nashangaa uyo nesi mwenye miaka 19.. Kwa nijuavyo nesi ( nurse) ngazi ya bachelor miaka 4 + na mwaka wa internship... Diploma miaka 3 na certificate miaka 2..
Sasa nesi uliyemla ww umesema ana miaka 19.. Ok tufanye uyu nesi ana diploma ya nursing . na alivyomaliza FORM-4 hakwenda chuo kikuu.. Alijiunga college akachukua diploma yake for 3 years. Apo tuache muda aliokaa kusubil kazi.. Kama alisoma diploma maana yake miaka yake.. 19-3= 16 kwaio form 4 alimaliza.. Na miaka 16.. Mmmmmh??
Mim lengo langu nijue uyu nesi kazin alikua na miaka 19 je alimaliza form 4 akiwa na miaka mingap??
Bas tufanye uyu nesi level yake ya elimu ni degree ya nursing.. Ok form 5 & 6 miaka 2 jumlisha na 4..ya chuo pamoja wa internship = miaka 6 apo tufanye alivyotoka internship tu akaajiliwa..!! Na tufanye pia Jkt hajaenda.. Kwaio miaka yake ( 19-6) sawa sawa na 13.. Kwaio kama elimu yake.. Ya nursing ni level ya degree.. Bas alimaliza form 4 akiwa na miaka 13.. Na alianza chuo kikuu akiwa na miaka 15 ( ukichukua 13 na ile miaka miwil ya advance)
Bado nachelewa story yako kuiita Chai huenda upo sahihi ila kwnye umri wa nesi umetudanganya.. Au vice versa.. Na huenda pia wapo wanaoanza shule mapema kiasi icho labda mm tu ushamba wangu..
Bado nesi wa miaka 19 kazin ananivurugia hii story sana....
Nawasilisha... By caglar soyuncu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo ndugu yangu ni hii Corona tu imetufanya tuwe wapole kwa sana.
Ni kweli huwezi kuuza ramani hapa. Wengine ni watu wazima sasa, tumeoa na hata tuliokulana kimasihara wameolewa na wana familia zao pia.Ni mjinga tu ndo ataleta story yenye details wazi wazi, wengine hao hao wanaotusimulia hapa kula kimashkara waliamua kuwaoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu visa vyako vilivyojaa kumbukumbu vimeadimika sana. Wife alikushtukia nini ?One of the best best story. Hongera.
Watu mnaanza kubishia umri wa nesi, hawa mabinti wakimaliza form four wanasoma hapo Msimbazi Centre kwa miezi 9 tu.
Na wamejaa kwenye Zahanati, wengi tu wakiwa na miakab18, 19 hapo.
Ni nesi wa cheti jamani sio hao manesi wa level za degree.
Mbona vichwa vigumu.
Haya tufanye stori ya jamaa ni uongo. Leteni za kweli.
Tufanye Ni certificate, ya miaka miwili, form four kamaliza na miaka 16, nursing miaka miwili, Ni hivyo inakujaKwa elimu yetu kibongo bongo bado nashangaa uyo nesi mwenye miaka 19.. Kwa nijuavyo nesi ( nurse) ngazi ya bachelor miaka 4 + na mwaka wa internship... Diploma miaka 3 na certificate miaka 2..
Sasa nesi uliyemla ww umesema ana miaka 19.. Ok tufanye uyu nesi ana diploma ya nursing . na alivyomaliza FORM-4 hakwenda chuo kikuu.. Alijiunga college akachukua diploma yake for 3 years. Apo tuache muda aliokaa kusubil kazi.. Kama alisoma diploma maana yake miaka yake.. 19-3= 16 kwaio form 4 alimaliza.. Na miaka 16.. Mmmmmh??
Mim lengo langu nijue uyu nesi kazin alikua na miaka 19 je alimaliza form 4 akiwa na miaka mingap??
Bas tufanye uyu nesi level yake ya elimu ni degree ya nursing.. Ok form 5 & 6 miaka 2 jumlisha na 4..ya chuo pamoja wa internship = miaka 6 apo tufanye alivyotoka internship tu akaajiliwa..!! Na tufanye pia Jkt hajaenda.. Kwaio miaka yake ( 19-6) sawa sawa na 13.. Kwaio kama elimu yake.. Ya nursing ni level ya degree.. Bas alimaliza form 4 akiwa na miaka 13.. Na alianza chuo kikuu akiwa na miaka 15 ( ukichukua 13 na ile miaka miwil ya advance)
Bado nachelewa story yako kuiita Chai huenda upo sahihi ila kwnye umri wa nesi umetudanganya.. Au vice versa.. Na huenda pia wapo wanaoanza shule mapema kiasi icho labda mm tu ushamba wangu..
Bado nesi wa miaka 19 kazin ananivurugia hii story sana....
Nawasilisha... By caglar soyuncu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hat wa kiume pia San tu, me mbna nlmalza o level nkiwa na 16, ni kawaida kabsaKumaliza form four miaka 16 ni kawaida kabisa. Watoto wengi wa kike wanaanza shule wakiwa na miaka 5. Unafikiri form four atamaliza akiwa na miaka mingapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakike au wakiume mkuu huyo mwanaoMimi mtoto wangu ana miaka 15 sasa yuko form2 atamaliza form4 akiwa na 17
akienda kakozi ka mwaka na kubahatisha kaajira hatazidi 20
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wa wanaokosoa nakuhakikishia hawajawahi kula matunda kimasihara/bila kutumia nguvu nyingi. Na kwa asili huwa wakipata demu wanaachwa haraka sababu ya ghubu zao