shimboni nansha....wewe mwana fala sana 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 ....yesu na maria....utapata sambi wewe....watoto wa kichaga watamu sana japo ni wachache wenye utamu..wengine majanga...
 
Hahahahah sasa mkuu ulijua HIV virus ni kama wa korona???
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatatizo la kutokumuandaa vzr mwanamke why uchubuke?
 
Mkuu isije ikawa umnibaini Mungu wangu nitaficha vp sura yangu mimi[emoji31]
Kweli wanawake hamna koromeo, ukajianika kule leo unakuja kujifunua kana kwamba hujulikani! Anyway sikuhukumu ila ni bora ungeishi nayo moyoni mwako hayo uloyafanya kipindi hiko. Kuwa na maandalizi mema ya ndoa yako
 
vipi uliendea kumpasua au ilikua issue ya one day stand up
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetisha sana mwamba mzee wa tbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…