Wengine huyazuia hayo maji sio wote wanaoweza kujiachia mpka yakatoka"mara nying ukiona demu kat kat ya game anakimbilia choon ndo hayo maji yalitaka yatoke sema kayazuia

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi tu mkuu hawawezi kuyavumilia, wengine wanajibana sana au kukutoa hapo kwa nguvu, wachache sanaa wanaweza kuvumilia yatoke huku unaendelea. Mwingine yakishatoka kiasi hawezi tena kuendelea anachoka mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna mwanΓ mke anayejitapa kugongwa na wanaume wengi
Lbd awe bitch ataona kawaida,hao wanawake wanaojitangazia kugongwa na mwanaume huyu,yule na yule ujue mshamba,mtoto au limbukeni wa mastaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu kwenye chama kadi utaipata kwa MLEVi Mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnatuongezea masingo maza mitaani, vijana wa sikuhizi pasua kichwa imagine angekuwa Dada yako ndo kafanywa hivyo ungefurahia? Inaonekana wewe hata pesa ya kumtunza mtoto hutoi ndo maana ameamua kuvunja mahusiano
Kuvunja mahusiano sio njia ya kumfanya apate pesa ya kutunza mtoto labda kuna inshu kama hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama nilivyosema hapo kabla kuwa kulikuwa na muda mchache kabla sijafika kituo ninachoshukia,ninaamini kwa dakika chache hizo demu alihisi ataonekana maharage ya mbeya ingawa mie nilikuwa nataka kuweka stori ya kula kimasihara tu.
Anyway,asante kwa ushauri wako kipindi kijacho nitazingatia
 
Hakuna kitu kibaya kama mtoto kulelewa na Baba mwingine au Mama mwingine sonona mnayompa mtoto ni ya maisha hata muwe na hela kivipi kulelewa na Baba na Mama wa damu kuna Hekima na Rehema zake katubu kwa mwenza wako mlee huyo mtoto kwa malezi yanayompendeza Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umeongea kitu cha maana sana,. Pamoja na kwamba huu ni uzi wa kula kimasihara tunatakiwa pia kujifunza kutokana na uzoefu.
Kwa ambao hawajaoa au kuolewa ni vema wakaepuka hii hali ya kuwa na watoto kwa mama/baba zaidi ya mmoja. Watoto wanapata tabu sana kuishi na baba/mama wa kambo wadau.
 
Hamna mwanΓ mke anayejitapa kugongwa na wanaume wengi
Lbd awe bitch ataona kawaida,hao wanawake wanaojitangazia kugongwa na mwanaume huyu,yule na yule ujue mshamba,mtoto au limbukeni wa mastaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanake wana namba ya tasa hiyo...kila unayemuuliza atakwambia ametembea na wanaume watatu...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚....utaambiwa wewe ni wanne...na kama ya hao watatu ni moja tu ndiye aliyemla .....tena huyo aliyemla alimbaka...πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Hiyo ni kwa vile cyo bikra...

Baharia ukipewa hiyo namba ujue upo kwenye dauble digiti...kula mzigo halafu piga kama....
 
Hamna mwanΓ mke anayejitapa kugongwa na wanaume wengi
Lbd awe bitch ataona kawaida,hao wanawake wanaojitangazia kugongwa na mwanaume huyu,yule na yule ujue mshamba,mtoto au limbukeni wa mastaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanake wana namba yao tasa hiyo...kila unayemuuliza atakwambia ametembea na wanaume watatu...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚....utaambiwa wewe ni wanne...na kati ya hao watatu ni moja tu ndiye aliyemla .....tena huyo aliyemla alimbaka...πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†...tena mara moja tuu

Hiyo anavunga kwakuwa cyo bikra...

Baharia ukipewa hiyo namba ujue upo kwenye dauble digiti...kula mzigo halafu piga kamya....
 
kweli mkuu,
lakni msamaha wangu umegonga mwamba,
sina namna, ninachosubr ni kudra zake mwenyewe asamehe.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo kweli nakubaliana nawewe inategemea siyo wote wako sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…