baada ya kumpa tofali hujawah kurudi kwa mchizi??
kama ulirud manz mlionana??
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unapiga bao 12, “Huwezi” ( hahahaha eti yope’s style)
 

Hii imequalify kuitwa kula tunda kimasihara...jombaa wewe ni hatar...ctaki ujirani na ww...maanake naweza kupewa kesi ya kumyofoa mtu roho...😂😂😂😂😂😂
 
Sasa wewe ndo baharia wa ukweli...mwaka 1975.....kama ungekuwa yule mwamba wa tako 23 bao 23 nadhani ungekuwa na bao kama 1000+😂😂😂😂😂....bao nane..🙌🙌.we kiboko dogo wa miaka hiyooo..👊👊👊👊👊🍾🍾🍺🍻🍻.cheerssss
 
[emoji23][emoji23][emoji23]nyansoo
 
maelezo yako hayajakaa vzr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi ngoja nifute thread. Siwezagi kutoa maelezo mengi na ndo maana sipendi kusimulia hapa.
Achana na huyo debe tupu, Andika uwezavyo hakuna mahala kwenye jamiiforums kumewekwa sheria ya kuandika kiufasaha ukichangia hoja. Kuwa huru tu, kwanza hili ni jukwaa la kukutana watu wa namna tofauti. Hatuwezi kufanana
 
Hivi story ya mzee wa Lindi imeendelezwa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu baharia we ungedeal na demu maana jamaa lishaonyesha weakness na alivo hana akili kusaa fujo ...demu ina maana kaona jamaa hamnazo au hajalieshimu pia kaukubali...wakusake we mbinu tu wasiliana na huyo manzi ila hamnakuonana kizembe ye anakufuata sio umfuate na uwe maeneo ya kujidai sio ugenini kama hapo mlipooenda
 
Hatarii sana., Aje geto kwako akusabahi pia Apajue (Noted: alikua hapajui)., Mara saa tatu usiku ukasikia mlango unagongwa demu akazama ndani ( Sasa sijui alipajuaje).

Tea iliyo kolea sugar
Tatizo ilo
 
dah yani story tu zinadindisha balaa
 
nimemiss hikichuo aisee sijui nirudi pale nisome Masters sijui ma Phd
 
Mamamamae
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…