Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Kweli jamii forum kiboko hakuna hata mmoja aliyepiga show mbovu kila mtu anatamba khaaaaaahh hadi wanaume wa kinondoni sasa nashindwa kuelewa hapa ile survey ya kwamba wanaume wa kinondoni sio rijali kumbe wanasingiziwa maana wachangiaji wengi wanaishi Dar
Pili kumbe dunia ya sasa wanawake wamekuwa very cheap sana maana sijaona mahali mwanamke kachangia kaliwa kimasiara sijaona mm
Inasikitisha Sana siku za usoni kutakuwa hakuna ndoa maana waolewaji hakuna sio kwa shuhuda hizi zinasikitisha mno
Anyway ngoja mm niendelee na research yangu mwishowe nitakuja na feedback according to this generation kupitia huu uzi wa Riki boy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SEHEMU YA MWISHO

Nimemaliza kupiga bao, nikambeba dem mpaka kitandani, alikuwa hoi hajitambui. Nikamlaza na kumfunika shuka, nikawasha feni. Kisha nikafunga mkanda wa trouser...nikarudi reception. Mpaka muda huo giza lilikuwa limeingia.

Nikaagiza beer nikawa nimesimama pale counter huku nabugia mtungi mdogo mdogo. Yule receptionist mara akashoboka, akanzaa kuniuliza maswali yasiyo na kichwa na miguu, " wifi umemwacha wapi, mbona umekuja peke yako... na maswali mengine blah blah"

Nikamjibu tu kwa kifupi, nimekuja kwa ajili yako mummy...akacheka sana. Wakati anacheka nikamwambia achukue kinywaji anachotaka...akachukua beer. Moyoni nikasema huyu namla. Tumekaa pale tunapiga story huku akihudumia wateja. Muda ukafika akaja msaidizi wake ambaye alikuwa amemshikia ile shift coz alitakiwa kuondoka mapema, uzuri walikuwa wanalala palepale walikuwa na vyumba vyao. Akataka kuniaga nikamwambia ngoja nikusindikize....tumepita kwenye vikorido vya ile lodge nikaanza kumshika kiuno ametulia tu, nikashusha mkono kwenye matako naona yuko kimya tu.

Tumefika chumbani kwao, akaniambia ameshafika kwa hio naweza kwenda. Nilichofanya ni kumvuta na kuanza kumnyonya mate, amefungua mlango huku tukiwa zero distance. Akaenda kuoga, niko hapo tu kwenye kitanda. Nikavua nguo zote nikalala pale kitandani. Amerudi akajifuta na taulo, mi namcheki tu alikuwa amenipa mgongo....hilo tako hatariiiii.

Akapanda kitandani akanipa denda..akiwa amenilalia juu yangu. Nikampindua akawa chini. Nilimtembezea moto mpaka nikawa natoa majimaji na sio shahawa halisi halafu pumbu zikawa kama zinauma hivi.

Hapo mida imeyoyoma, nikasepa nikarudi room yangu nikamkuta dem wangu anajigeuza geuza tu, nikavua nguo nilale. Akawa amshtuka kutoka usingizini akaniuliza nilienda wapi, nikamwambia nilipigiwa simu kutoka home kuna ndugu yetu alikuja pale stendi nikamsaidia kupokea mizigo. Demu akanielewa hivyo hivyo kimashaka. Tukalala.

Kesho yake nikala mzigo kile cha asubuhi...dogo akaniambia mzigo mfukoni umekata, na mimi nikamwambia niko vibaya. Ikabidi tuwasaundishe wale madem kwamba tunarudi shule kuna rollcall imepitishwa jana kwa hiyo tunaenda kusolve msala. Wakatuelewa, tukawapeleka stendi...hatukuenda moja kwa moja ofisi za tiketi. Tulikuta kuna basi linataka kuondoka tukawapakiza. Tumefika ndani ndani ya basi wakasema hawana nauli. Tukawaambia watumie zao tutawatumia wakifika (dogo alinitonya dem wake ana mkwanja kwenye pochi yake). Walikuwa wanyonge haooooo...hahahaaaa

Sisi tukasepa. Issue ikawa nauli ya kurudi skuli. Nilikuwa na kadi yangu ya NMB. Nikamwambia dogo twende ATM nikatoe kabalance kalikobakia. Kufika ATM tukakuta bonge la foleni kwa kuwa ilikuwa mwisho wa mwezi, mambo ya mishahara hayo. Tulikaa pale mpaka mchana tuna njaa balaa. Tulishindia matunda tu kwa kuwa tulikuwa na vichenji tumebakiwa navyo.

Hatimaye tukadraw mkwanja kiasi, tukaenda shule tukiwa wepesi kabisa. Wale madem walitusumbua sana tuwarudishie ile pesa ya nauli lakini tukawa manunda. Hatukuwa na chochote.

Nilimaliza masomo nikaenda chuo tukiwa tunawasiliana na yule dogo.

The sad thing is, yule dogo alifariki..kuna page ya facebook ya rafiki yake alimtag akiwa ameandika R.I.P.

REST IN PEACE DOGO, YOU ARE AMONG THE BEST FRIENDS EVER MET IN MY LIFE!

THE END OF MY STORY

Rest easy dogo janja
 
Nilimisi sana huu uzi....
Imebibidi kuja na ID mpya kuoshare nlivyoliwa kimasihara.
Basi bwana mwaka 2016 nikiwa chuo second year, nilikua muhudhuriaji mzuri wa kanisa na huko nikapata crush wangu, mkaka mpiga gita, handsome haswa na msmart kwelikweli

Basi bwana nikajitahidi kadri nlivyoenda kanisani nijue jina lake,(haikua lengo langu hili ilitokea tu) na kweli nikalijua,siku moja nikiwa katika stress za shule na maisha nikasema ngoja nimsearch facebook,kweli nikampata nikarequest urafiki,akakubali..

Then baada kama ya week nikajipiga picha nzuri tu nikaweka facebook alivyoi-like nikafuta kumbe alishanitext messager tukachart kwa mda then akanitumia number zake nikamchek watsup, tukafahamiana kwa mda akawa rafiki mzuri tu,baada ya kumzoea nikamuona tu ni wa kawaida anafaa kwa matumizi ya urafiki tu na sivinginevyo.

Kuliwa kimasihara sasa... Baada ya kuzoeana kukutana maeneo ya chuo maana na yeye alikua mwanachuo, ila cyo chuo nilichokua nasoma ila vipo karibu sana, na kanisani siku moja akaomba aje kwangu(geto) sikuona shida nikamkaribisha akaja, nikapika akala gafla naona mtu anaomba akaoge maana amechoka, nikampisha akaoga then hakuvalia nguo bafuni akanifata hadi kitandan nilipokua nimekaa , mara aniguse hapa na kulee nikajikuta naachia mzigo, basi. Akapiga deki haswaa, nilijikuta naita maji mma, yupo vizuri mnoo kwenye kuandaa aisee alinilambaaa all over kitu ambacho sijawah experience kwa kipindi kile n by that time k ilikua haijapiga milage ndefu . sasa balaa likaja kwenye kuingiza mkuyengee kwa bibi, yaani mzigo wake ni mneneee alafu mfupi, sikufeel chochote zaidi ya maumivu nikajidai naenjoy kumkatia kiuno amalize haraka, kweli akamaliza, akasema tuendeelee cha pili
Nilikataaa kwa kisingizio nna discusion chuo mda huo, yaani alivyoondoka kwangu nilijuuuuuuuuuutaaaa, niliogaa maraa mbiliii yaani it was bad, na hapo K ilikua mnato sikua nato*mbwa kiboya na boyfriend... Nilimdelete kila kona, kanisan nikawa nawah kuondoka baada tu ya kutoa sadaka, siku hajaja kanisan ndo nikawa nakaa hadi mwisho. Kuna siku nilikutana nae nikiwa mazoezini asee nilijidai simjui hata asinikumbushie.


Ila jamani ACRONOMY nyuzi zako zinanilowanishaa haswaaa, wanaume wa JF hamna mwenye show mbovu, sijui mtaani mnapatikana wapi akii.


Sent using Jamii Forums mobile app
Una hatari wewe binti [emoji2][emoji2]; choir master alipata bahati.
Nishazeeka mimi ila maisha yamenipa experience ya kutosha. [emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asubuhi moja miaka ya karibuni,
Nilishtuka saa 11.30 kwa honi iliyokuwa inapigwa getini, nadhani ilikuwa ni school bus iliyofuata mwanafunzi hapa ninapoishi ( kuna nyumba zaidi ya kumi ndani ya uzio mmoja). Nilipoamka ndipo nikagundua kuna bahasha niliiacha nje(karatasi za kazi zangu), nilipokuwa navua viatu jana niliziweka juu ya ukuta wa kibaraza na nikazisahau hapo.
Nikaamua nitoke ili nizichukue hizo karatasi, ile nafungua mlango tu napishana na dada mmoja ambaye ni mpangaji mwenzangu ametoka kumsindikiza mtoto wake kupanda school bus nje ya geti. Huwa tunasalimiana kila tunapoonana na kujuliana hali. (Sitaeleza umbile lake na jinsi alivyokuwa) ila ni mzuri kwa viwango vyangu. Akanisalimu na kuniuliza mbona mapema hivyo jirani, nikamjibu nimefuata hizi karatasi nilizisahau hapo nje. Akiwa anaanza kupiga hatua kuelekea kwake nikamwambia ‘’jirani njoo tumalizie usingizi’’, akaniangalia kisha akaniambia ‘’unataka kufa wewe, kama unaweza acha mlango wazi na uzime taa ya barazani ninarudi’’. Akaondoka kuelekea kwake, nikarudi ndani kwangu nikihisi kutetemeka na kutoamini nilichokisema.
Dakika tano baadaye mlango unafunguliwa na jirani akaingia, hakuna hata aliyemuuliza mwenzake tulipitiliza chumbani na kuanza kula tunda adhimu.
Nilikula mzigo mpaka saa tatu asubuhi baada ya mazingira kutulia na wafanyakazi kuwa wameshaenda kazini, jirani akatoka kurudi kwake.
Huu ukawa mchezo wetu pendwa katikati ya wiki akimsindikiza mtoto kwenda getini mimi naacha mlango wazi, anaingia nakula tunda kisha anarudi kwake.
Heshimu wanawake na usisifie uaminifu wa mkeo kwa kuwa hujakamata meseji za mapenzi kwenye simu yake, maana huyu dada alikuwa na mume na jamaa alikuwa anatoka mapema zaidi. Haya mapenzi hayakuwa na kupigiana simu wala kuandikiana meseji. Nikisikia honi nafungua mlango, bibie anaingia nakula mzigo.

NIMESHATUBU HII DHAMBI.


Sent using Jamii Forums mobile app
Swali la unataka kufa lilikuwa la muhimu.
 
Back
Top Bottom