Wee jamaaa huingii mbinguni aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe jamaa mafuta taa bhasi ubarikiwe mkuu nadhan after some times letter akili itamkaa vzr
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchizi boti Hadi tigo ukapakua.... Aisee kasheshe kweli kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia kuna ile unafahamiana na demu sana au kidogo lkn hamjawahi tongozana mna stori za kawida tu, pia ujue kuna wengine huja gheto wakidhani hamna madhara lkn anakutana na gegedo, kuna mwingine unamla kimasihara mwishowe mpenzi adi mke pia, kimasihara zipo za namna nyingi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii kada kumbe nayo ni shida sina imani nayo tena,sema nilichojifunza wanawake wanapenda watu wanaojiamini na kujitoa akili yaani kujiamini kwako ndani ya masaa tu umepiga tunda kimasihara na unaweza kuta ana mume yuko nyumbani.
Dah kuna mmoja wakati huo nipo Moshi kikazi yeye alikuwa yupo Arusha USA River kule juu Jani, aiseeee kila weekends natia timu kwake mpaka Jumatatu asubuhi nafikia job Moja kwa Moja,bado kidogo nioe ila nilikuwa bado sijamaliza ujana nikagoma. Sasa hivi kashaolewa na ana Watoto 2 ila Mimi nikitaka mzigo au yeye tunaambiana tuu kiroho Safi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Aiseeee.......
 
Nachoamini mimi hakuna kundi lililoadhirika zaidi ya lingine wote sawa tu, pia sijali sana maana kifo ni lazima na maradhi yapo mengi tena hatari zaidi ya HIV, huu kwangu sioni tofauti na maleria.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au hauna tofauti na virus vya corona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We nibaharia unaweza shika namba mbili ila moja bado iko kwa mkali Mr Juma p maharage, huyu mwamba ni 'nyoko'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…