SN.BARRY
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 4,046
- 8,979
nilijua tu kwa hilo jina la chongoentaleta yangu nilokula kimasihara baada ya kuzama bahari nikielekea mafia baada ya kumuokoa mtoto na mama yake
Bado anayeongoza ni yule jamaa aliyekula chizi na ule mgegedo ukampoteza kabisa pale mtaani
Utakuja kufa kizembe sana,nesi unamla bila kinga?I see condom sikutumia course manzi alikua nurse by professional. Yeye alikua na wasiwasi juu yangu ktk ngoma, na mimi nikawa wasiwasi nae juu ya hepatitis B virus. Aliponambia amedungwa sindano ya kinga ikawa ni mwendo wa kulowekeana tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuja kufa kizembe sana,nesi unamla bila kinga?
Tambua wengi wao hawaelewagi hao,wanapigwagwa sana,kua makini ndugu yangu.
Ulibadilishana mtoto Kwa laptop sio mbayaNdo Mara ya kwanza nasikia mzungu anazaa kizembe
"""nikanywa chai ya maziwa alfajiri ile lakini wapi. Nikachukua uamuzi wa kutafuta bar iliyo wazi muda huo( saa7 usiku) nikaja kuipata mitaa ya mizani ambapo ni mbali na stand na nimepigwa baridi kwenye boda balaa."""SAFARI YA MWANZA-MBEYA ILIVYONIPA MGEGEDO KIMASIHARA.
Ilikua 2016 mwezi june kipindi hicho mama mtoto kazingua. Safari imeanza nyegezi nikiwa nyuma ya dereva nimetulia na muungwana mmoja. Safari ilivyozidi kuchanganya ndivyo hadithi kati yetu zivyoendelea kukata. Ile shuka-panda na chimba dawa za njiani nikawa nazicheki pisi kadhaa but nikawa sina mzuka wa hizo mambo as usiku kabla ya safari nilipata company. Shida ya safari ilianza nilipoingia Iringa town, maana nilikua nimevaa t-shirt na hali ya hewa mwezi huo wenyeji wanaielewa. Kipindi hicho gari zinalala makambako na baridi ni kali balaa. Ikabidi nichukue (kaschana) konyagi ndogo. Mpk nafika makambako nikawa nimekamaliza lkn bado bado baridi ilikua inanikomoa balaa, nikanywa chai ya maziwa alfajiri ile lakini wapi. Nikachukua uamuzi wa kutafuta bar iliyo wazi muda huo( saa7 usiku) nikaja kuipata mitaa ya mizani ambapo ni mbali na stand na nimepigwa baridi kwenye boda balaa.
Niliporudi nikakaa nje ya mgahawa raia wengine wakiota moto huku mie nashusha Antony Lusekelo(Bapa) mdogo mdogo. Kati ya waotaji moto alikuwepo binti mmoja (sio pisi kali lakini si haba alikua kajaliwa mahitaji yangu). Binti akatokea kuzielewa itikadi zangu nakula kitu kigumu naondoa baridi afu nipo kimya. Mungu kutujaalia wanadamu macho yetu kutokua na pazia alikua na malengo yake. Mara kadhaa tukawa twakutanisha macho huku yeye akionekana na fadhaa kizushi n design anatabasamu. Nikapata time ya kumzingua atupie vitu vikali akadai havipendi n hapendi wanaume wapiga tungi na bla bla kibao, but tulipiga story kibao na vile wazungu walikua wamenikolea binti akaishia kucheka tu na mwishowe tukabadili namba za simu.
Saa10 alfajiri safari ikaendelea tukaingia mbeya saa4 asubuhi, mie nilikua naunga mpaka s'wanga home mitaa ya kizwite na yeye alikua aelekea Tunduma. Baada ya siku mbili mida ya jioni akanipigia simu akanambia yupo stand kuu s'wanga (kitu ambacho sikutarajia kabisa). Basi nikamchukua na kutafuta pango la wageni maana alidai amekuja kutalii. Kumpeleka home ikawa jau kuwashawishi washua kuwa ni rafiki yangu. Niliporudi usiku kupiga nae stories binti akanizuia kuondoka akitaka nilale nae mzungu wa nne ati aogopa wachawi. Kilichoendelea kwa wiki nzima akiwa ana talii pale swanga kinaeleweka, hadi mtalii akaishiwa mkwanja wake ikabidi nisimamie show mpk nauli ya kurudi mwanza.
NB: CHUPI ILE YA KISUKUMA NILIIELEWA KIAINA INGAWA HAIKUWA KWA MATUMIZI YA KINYUMBA. Mawasiliano yalikuja katika ilipopata ajira Kigoma huko. Na mimi kufuata mgegedo mkoa wa vumbi jekundu jeuri hiyo sina(samahani WAHA kigoma ni moja eneo la Tz nisilolipenda kufa). Kwa sababu ya VUMBI JEKUNDU LA KIGOMA nikajikuta nimempoteza Grace.
Sent using Jamii Forums mobile app
SAFARI YA MWANZA-MBEYA ILIVYONIPA MGEGEDO KIMASIHARA.

"""nikanywa chai ya maziwa alfajiri ile lakini wapi. Nikachukua uamuzi wa kutafuta bar iliyo wazi muda huo( saa7 usiku) nikaja kuipata mitaa ya mizani ambapo ni mbali na stand na nimepigwa baridi kwenye boda balaa."""
Mara alfajiri mara tukarudishwa saa 7 usiku. Okay How do I know.
Sent using Jamii Forums mobile app
I see condom sikutumia course manzi alikua nurse by professional. Yeye alikua na wasiwasi juu yangu ktk ngoma, na mimi nikawa wasiwasi nae juu ya hepatitis B virus. Aliponambia amedungwa sindano ya kinga ikawa ni mwendo wa kulowekeana tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wee acha tu, kuna j2 moja tuliduu kuanzia saa 12 jioni hadi saa 4 usiku nilikojoa mara 4 nilitoka hapo napepesuka kiaina, nafika home saa 5, saa 6 tunaingia kulala wife anarusha miguu tu nkajua anawashwa huyu, na mi sikubaligi kushindwa nkampa haki yake hadi saa 8 ndio tunalala, tulikuja kushtuka saa 1 na nusu asubuhi wakati natakiwa kuamka 11 kamili, ilibidi nijifanye naumwa funguo ya kazini ikafuatwa na boda.
Tangu apo ndio akili ikaanza nikaa sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
KAMA NI CHAI: Toa uhalisia wa niliyo simulia, yawezekana wewe ndie Grace.
UANDISHI MBOVU: Fanya kupembua pahala nilipo kosea kanuni za kiuandishi.
Utakapo maliza kufanya hayo jiulize kama ndio malengo ya rikiboy kuleta uzi huu.
NB: Mwenzio nilikua night shift kulijenga taifa. Acha kukata viuno kama kangi lugola hovyo. Utapata mimba isiyo na baba koroboi wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Najaribu kutafakari tofauti ya kufa KIZEMBE na kufa KIMAKINI....Utakuja kufa kizembe sana,nesi unamla bila kinga?