Kwanini ulianza kutokupokea simu zake??? Kwanini ulimkaushia? [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ma block ya UDOM, Na hii cafe itakuwa kwa mwarabu [emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii kada kumbe nayo ni shida sina imani nayo tena,sema nilichojifunza wanawake wanapenda watu wanaojiamini na kujitoa akili yaani kujiamini kwako ndani ya masaa tu umepiga tunda kimasihara na unaweza kuta ana mume yuko nyumbani.
 
we nyoko aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yote hayo umeyafanyia under your roof mkuu? Aisee!!
 
Ulikuwa unachoma kama vile unauwa joka[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nzuri sana hii mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

heshima kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…