[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba shetani akamuuliza mdogo wake au amshikie na miguu? Aiseee huu Uzi n yoko, wamfungulie muasisi wa huu Uzi jaman rikiboy aje ajionee maajabu yanayoendelea humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu msela wako hapa aliliwa yeye kimasihara. Huyo demu clearly alitaka show pale tu alipomwambia msela kuwa kammiss.....
Kabisa na demu ndie aliemuita mshakaji,nilishawahi feli show ya ivo hadi leo najilaumu lile tunda mmae nilijifanya mlokole sana nikaishia kula mate na kushika kiuno na mahisiano yenyew yalikufa sijaonja hatatunda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii sio chai, bali ni uongo mtupu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Kwa hiyo hamna kitu kama kula kimasikhara, pre-arranged!
 
Kula kimasihara, hii sijawahi aisee, sijui nakwama wapi. Jmosi nimeikosa moja kimasihara. Nitaiwekea mikakati madhubuti. Niko capital city, last saturday nilienda Hospital Aga khani nilikuwa nina miadi na Tabibu kuna pisi moja nahisi tulielewana nayo, eye contact kila baada ya dakika tano kutokana na uwepo wa watu wengi pale na foleni za Hospitali nilishindwa kufurukuta.
We dada uliyekuwa Aga Khan Dodoma tarehe 25/01/2020 mweupe, umesuka rasta, skin jeans blue na sweater jeusi ninakutafuta.
Be warned!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…