Icho kiwanja ni city pub mzee kingine green pazuri@ Garfirld:

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapka sasa toka Uzi umeanzishwa na baharia rikiboy...99% ya waliokula kimasihara wamekula pisi Kali...99% wamepima oil na wamekuta oil inasoma...99% waliokula kitu cha kimasihara wamekula mate...99% Wamepiga story mbili tatu kabla ya kula kimasihara... 99% wameoga baada au kabla ya kula kitu cha kimasihara... 90% wamepiga dogy style... Wakuu tuendeleeni kula kimasihara..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upoa sahihi kabisa miminimama maji yana raha yake jamani, kila mwanamke ana maji issue hapa ni kujua pa kuyapata, believe me hata wachaga wanaowasema vibaya wanayo yakutosha tu
 
Imekuwa kheri kwako, uko naye kama mwenza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee hii post umeisetia viwango vya juu sana vya kiuandishi... mpaka sasa mabaharia wanajiuliza mara mbilimbili watumie njia gani kuposti ili waeleweke.....
 
Kama sinema ya kihindi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi waliokula tunda kimasihara humu ndani ni wanaume wa Dar na kwa maelezo yao wameuchakata tunda hadi mademu wengi wamefika Uhuru peak sasa ninachojiuliza hivi ile kauli ya wanaume wa Dar hawana nguvu za kiume kumbe wanasingiziwa tu....na hata kuna baharia moja humu wa kinondoni kasema aliuchakata tunda la Customer care wa Voda haswa na demu kaelewa shoo wakati juzi tu takwimu zimetoka kuwa kinondoni wanaume hawako vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko kwingine kama kula pisi mbovu wapo wakiokiri. Waliowapa mimba mademu waliowakula wapo. Aliyepata gono namkumbuka mmoja.

Kuna mmoja anasema kuna demu alikuwa anamlazimisha wasex ila akawa anashindwa sababu chaputa ilikuwa imemuathiri sana hvyo akawa hajiamini mbele ya demu na hiyo ndo ikawa pona yake kupata HIV.

Ila aliyeambukizwa HIV huyo hata mimi sijaona. Lakini najua hawawezi kukosekana. Sema tu ndo hivo hawawezi kusema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…