Mkuu Nani huyo kakutuma uwasilishe?
 
Usimjibu na ikiwezekana hiyo namba yake ipige bani ya milele,baharia hana roho dhaifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

hapa ni moshi pub albeto mishikaki yake pale nje ni nouma
 
Hii chai ni ya kichina haina Ladha na uhalisia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],, eti bampz za mikoani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…